Sex, money and power are said to make the world go round, especially when dealing with politicians who take people round in circles until they feel dizzy...........
Soma zaidi Hapa
Hapo kuna kudanganyana. Hadharani wataimba wimbo mmoja lakini wakiingia vyumbani kila mtu ataimba wa kwake. Watajuaje kwamba kila mwanamke ametekeleza walivyokubaliana? Watawapima? Uongo mtupu!Je ni kweli hichi kitendo kitapelekea kufikisha malengo yao kisiasa?? Je na wanawake walio nje ya Kenya ambao ni wakenya nao watende agizo??
Na ambao wameolewa na wananchi wa nchi zingine je nao watawekwa kundi gani??
What's this? Kenyan women suggesting doing a sex boycott to protest bad leadership who's doing this?
Ndugu yangu!!!! KWANI WEWE HUWAJUI HAO JIRANI ZETU??? THEY CAN DO ANYTHING TO GET ATTENTION HAPA DUNIANI
IT IS ALSO DIFFICULT KUPIMA UFANISI WA AGIZO KWANI WAKISHAINGIA NDANI MAMBO HUBADILIKA
KITUKO-----