Sex before marriage is a SIN.

Haya mwali umeshinda bt kuna trap nyingi sna so be carful becse hzo affctn znaweza lead 2!! Nanii!
Sure, I am careful, na ndio maana hua nawaambia rafiki zangu
Kama wanataka kuniona waje nyumbani, affection zote mbele ya shangazi. lol
 
Sure, I am careful, na ndio maana hua nawaambia rafiki zangu
Kama wanataka kuniona waje nyumbani, affection zote mbele ya shangazi. lol

Mmmh nyumbansindo nomumaa?
 
Kueni makini na watoto wa kike wa siku hizi this s 4 ur safety.
 
Umejikumbusha na wewe lakini??? sio kukumbusha wenzio tu
 
tunajua but mm mpk ni test kwanza km nitamudu nikiolewa na mwenye ndizi ya njano mkono wa tembo yakinishinda ruksa kuomba talaka?
 
tunajua but mm mpk ni test kwanza km nitamudu nikiolewa na mwenye ndizi ya njano mkono wa tembo yakinishinda ruksa kuomba talaka?

Mna asukudanganye m2 zote sawa 2aina aja ya kujarub vi2 tofaut utaishua kutest na magonjwa!!
 
Back
Top Bottom