SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,054
- 2,840
- Thread starter
- #21
No, you got me wrong. Naweza kudo na mtu ambaye simpendi na haimaanishi kwamba kwa kudo naye ndo ntampenda hata kama ananipenda. Nitakachokuwa nampa ni return ya mapenzi yake kwangu na si mapenzi yangu.
Love and sex are two different things, at least to me.
Nadhani kinachogomba hapa ni issue ya lugha..
'Kufanya mapenzi'..'Making love'