Sex and Love; Misunderstandings!!!

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
Hi MMU members

Misunderstanding comes about when we confuse sex with love. Sex is part of love but it is not love. Sex is a temporary desire. You can probably have sex for 15 minutes or 30 minutes at most but real love is for a long time (months or years) and is showcased in
acts and behaviour. If a person doesn't give you sex, it doesn't mean she or he hates you!..Sometimes a person may not be ready for
sex due to unavoidable circumstances and yet still loves you! beware?

Understanding this difference is the aspirin to misunderstanding!..But to what extent should sex become a stumbling block or a corner stone to love??..lets us discuss!!!
 
mmmh, as kibongo bongo, sex kwanza love baadae hapa naongelea kwa wapenzi.

Love ni pana zaidi maana kuna love kwa wazazi, ndugu, watoto na marafiki.

Hivi ukimwambia mtu 'nakupenda' lazima unajifunga kufanya naye mapenzi???
 
papito Snowball vengine viko wazi tu, ila ile kutaka makuu matokeo yake ndio haya.

full mpishano, mwengine anataka kufikiria SEX mwengine Love katika same situation.

rnin340l.jpg
 
mmmh, as kibongo bongo, sex kwanza love baadae hapa naongelea kwa wapenzi.

Love ni pana zaidi maana kuna love kwa wazazi, ndugu, watoto na marafiki.

Hivi ukimwambia mtu 'nakupenda' lazima unajifunga kufanya naye mapenzi???

Unajua Kongosho..sex na love imekuwa ngumu sana kutenganisha!
Unashangaa mtu anamuona mtu in a first day tayari eti keshampenda!
Ukangalia in most cases watu wanaposema nakupenda they all mean they need sex..
Chunguza kwa makini utagundua!!
 
Last edited by a moderator:
Erotica !..'The moment a man gets a woman into bed what he think is all about sex'!..ghosh!
Have u ever asked yourself on the woman side?..do women act differently from what men do??
 
Last edited by a moderator:
na kama imetokea 'nimempenda' mtu na simaanishi nataka 'sex' nimwambieje??

Hata kwa kizungu ukimwambia mtu 'I love u' inaamanisha unataka sex?

Na ukimwambia mtu ' I like you'?

Umenichanganya.

Unajua Kongosho..sex na love imekuwa ngumu sana kutenganisha!
Unashangaa mtu anamuona mtu in a first day tayari eti keshampenda!
Ukangalia in most cases watu wanaposema nakupenda they all mean they need sex..
Chunguza kwa makini utagundua!!
 
Last edited by a moderator:
na kama imetokea 'nimempenda' mtu na simaanishi nataka 'sex' nimwambieje??

Hata kwa kizungu ukimwambia mtu 'I love u' inaamanisha unataka sex?

Na ukimwambia mtu ' I like you'?

Umenichanganya.

Ukiigeuza upande wa pili ndio utaelewa..
Fikiria unahitaji ku'date' na mtu..how will you tell that person?
Unaweza kuniambia ' i love you' ukiwa haumaanishi sex..unadhani mie nisiyeelewa kuwa love sio sex ntakuelewaje?
Ndio maana nasema kunahitajika kuwe na mutual understandings kuhusu hz phenomenon..ili katka mazingira flan utakaponiambia ' i love you'..basi na mimi nielewe hivyo unavyomaanisha!!..
 
Hi MMU members

Misunderstanding comes about when we confuse sex with love. Sex is part of love but it is not love. Sex is a temporary desire. You can probably have sex for 15 minutes or 30 minutes at most but real love is for a long time (months or years) and is showcased in
acts and behaviour. If a person doesn't give you sex, it doesn't mean she or he hates you!..Sometimes a person may not be ready for
sex due to unavoidable circumstances and yet still loves you! beware?

Understanding this difference is the aspirin to misunderstanding!..But to what extent should sex become a stumbling block or a corner stone to love??..lets us discuss!!!

Hapo in red, when sex not given at all or when it's not satisfying or when it's given on conditional basis

Under such circumstances sex become a blocking to real love
 
So you agree that in some instances Sex dictates love?
The more sex the more love..ryte?
 
Hata ikatokea nikafanya tendo la ndoa na mtu niliyedhani ananipenda, nitapogundua hanipendi, ndo siku hiyo hiyo uhusiano unavunjika.

Penzi kwanza sex baadae. Na hata ikibidi niwe na mtu, mara mia kufanya na mtu anayekupenda hata kama mie simpendi.

No questions Snowball.
 
:poa

Hata ikatokea nikafanya tendo la ndoa na mtu niliyedhani ananipenda, nitapogundua hanipendi, ndo siku hiyo hiyo uhusiano unavunjika.

Penzi kwanza sex baadae. Na hata ikibidi niwe na mtu, mara mia kufanya na mtu anayekupenda hata kama mie simpendi.

No questions Snowball.
 
Last edited by a moderator:
mmmh, as kibongo bongo, sex kwanza love baadae hapa naongelea kwa wapenzi.

Love ni pana zaidi maana kuna love kwa wazazi, ndugu, watoto na marafiki.

Hivi ukimwambia mtu 'nakupenda' lazima unajifunga kufanya naye mapenzi???

kinjemba kikikwambia kinakupenda ujue hapo kinataka mavituz. Kibongo bongo hatujazoea kuambiana i luv u watu wa jinsia tofauti na tukamaanisha upendo mtakatifu.
 
Hata ikatokea nikafanya tendo la ndoa na mtu niliyedhani ananipenda, nitapogundua hanipendi, ndo siku hiyo hiyo uhusiano unavunjika.

Freema Agyeman kwa hiyo unaweza uka'do na mtu humpendi..then kupitia sex ukampenda?
But also unaweza sex kwanza na mtu and then ukiona akufai unam'dump'..Kwako wewe kipi kinatangulia kingine?..Sex or love??..Does sex explain love to you??
 
Last edited by a moderator:
kinjemba kikikwambia kinakupenda ujue hapo kinataka mavituz. Kibongo bongo hatujazoea kuambiana i luv u watu wa jinsia tofauti na tukamaanisha upendo mtakatifu.

I love you Catherine.
via #kibongobongo
 
Last edited by a moderator:
kinjemba kikikwambia kinakupenda ujue hapo kinataka mavituz. Kibongo bongo hatujazoea kuambiana i luv u watu wa jinsia tofauti na tukamaanisha upendo mtakatifu.

Would you explain more please?? ..hapo kwenye red Catherine ..so you mean kibongobongo love means sex??
 
Last edited by a moderator:
Freema Agyeman kwa hiyo unaweza uka'do na mtu humpendi..then kupitia sex ukampenda?
But also unaweza sex kwanza na mtu and then ukiona akufai unam'dump'..Kwako wewe kipi kinatangulia kingine?..Sex or love??..Does sex explain love to you??

No, you got me wrong. Naweza kudo na mtu ambaye simpendi na haimaanishi kwamba kwa kudo naye ndo ntampenda hata kama ananipenda. Nitakachokuwa nampa ni return ya mapenzi yake kwangu na si mapenzi yangu.

Love and sex are two different things, at least to me.
 
Would you explain more please?? ..hapo kwenye red Catherine ..so you mean kibongobongo love means sex??

ndio, sijawahi kumsikia baba yangu akiniambia ananipenda, sijawahi kusikia uncles zangu wakisema wananipenda. Hata jirani zangu wa kiume hawajawahi kuniambia.... Moyoni najua baba na uncles zangu wananipenda (upendo mtakatifu) maana matendo yao yanaongea yote, ila kwanini hawaniambii ?! Hawasemi sababu hata wao wanajua kuwa watu including na wao wanaperceive love=sex, na wakiniambia "i love you" kama hawamaanishi they want to sex nami basi mi akili yangu yaweza interprete hivyo". So far, hizo i love you nazisikia kwa vinjemba ambavyo sina undugu navyo na vina dalili zote za kutaka sex maana sioni kama ni upendo wa kiagape wanaoumaanisha.
Fanya jaribio, siku toka na sister wako mkubwa, piga nae story mbili tatu halafu mwambie dada nakupenda sana (hakikisha unamuangalia usoni uone facial expression yake na atakavyojibu)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom