Seven ways sex is good for your health

Hi ni kwa wanaume tu au na kwa wanawake jamani. Sasj kama mtu hajaolewa/hajaoa haya mazoezi kwa afya atayapata wapi? Au ndo ile ya kuazima bailogia ya mtu unaitumia kwa afya halafu unairudisha.
 
shalom LD, nadhani hii ni kwa wote...kama bado kuoa au kuolewa mtu hapaswi kuazima ila kujitafutia yake binafsi..lol
 
Kama huwezi kununua kodisha ili uwe na uhuru nayo...vya kuazima havikai!!
 
Hi ni kwa wanaume tu au na kwa wanawake jamani. Sasj kama mtu hajaolewa/hajaoa haya mazoezi kwa afya atayapata wapi? Au ndo ile ya kuazima bailogia ya mtu unaitumia kwa afya halafu unairudisha.
Hii ni kwa wote LD. Si lazima utumie biologia yako. Zipo nyingi tu mitaani hazina watumiaji. Unaruhusu one night stand halafu undugu umekwisha. Wewe umegain afya yako, na jamaa kagain yake. Halafu hakuna kutafutana tena. Ila usisahau kinga eeeh!!
 
How about catholic priests and sisters who do not practice for their entire life.For this reason i prove you wrong that there might be other reasons.
 
shalom LD, nadhani hii ni kwa wote...kama bado kuoa au kuolewa mtu hapaswi kuazima ila kujitafutia yake binafsi..lol

Shalom WL, sasa wakati ukiwa unajitafutia ya kwako binafsi si utapata kwashiakoo?

Manake sasa, unazunguka kitaa unatafuta Bailogia kwa ajili ya afya.

Hii ya kukodi inapatiana wapi Lizz.......
 
How about catholic priests and sisters who do not practice for their entire life.For this reason i prove you wrong that there might be other reasons.
Una uhakika gani kama hawafanyi?wale pia ni binadamu wana do tu kama kawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom