Set the record straight - wanafunzi UDOM wengi sio wana CCM

Solomon David

JF-Expert Member
Mar 1, 2009
1,148
16
Nimesoma comments kibao sana hapa JF kuhusu mgomo wa wanafunzi wa UDOM. Kuna theme moja nimeiona inashika moto hapa JF kuwa wanafunzi wa UDOM ni wana CCM. You know what, hata mimi nilikuwa nadhania hivyo just few months ago.

Kulikuwa na habari kibao kuhusu wana UDOM wakienda kukutana na viongozi wa ccm Dodoma. Kuna ile habari ya kumchangia Kikwete. Kuna ile story ya kupondea wabunge wa CHADEMA. Etecetera.

Kwangu mimi, kilichofanya nidhanie kuwa wana UDOM wengi wanaunga mkono CCM, ni malamiko yalikuwa yanatolewa na wanaharakati wanafunzi kwenye vyuo vingine (hasa UDSM) kuwa wana UDOM hawako tayari kuwaunga mkono kwenye movement yoyote ile ya kudai haki zao. Pia, ile misemo iliyokuwa inabandikwa hapa mara nyingi kuwa JK anakipenda UDOM kuliko UDSM ilifanya niamini kuwa kuna some kinda training camp inaendelea (kama enzi zile za usoviet).

You know what, niliwahi kupata mtizamo huo kuhusu watanzania waishio UK. Kuna wakati nilidhani kuwa watanzania wengi (kama sio wote) walioko UK ni wana ccm. Heck .. think about it - kuna Maina Owino, Gametheory, Mtanzania, Mzee, etc. Ukisoma michuzi etc utadhani kuwa watanzania walioko UK kazi yao ni kufungua matawi ya ccm kila kukicha ---- until ukienda UK.

Sometimes this year (wakati wa graduation kibao za UK) nilimtembelea cousin yangu UK. Nilikutana na watanzania kwa kiwango kikubwa ambao walikuwa wanasherehekea graduation zao au za marafiki. Katika sherehe hizi, topic kubwa ilikuwa chaguzi za Tanzania. Nilishangaa sana kuona kuwa watanzania wengi UK sio wana ccm. Kuna idadi kubwa ya wana CUF, na kuna idadi kubwa tu ya wana CHADEMA. Nilicheka sana kusikia msemo wa ccm maslahi (wanaojiunga ccm ili wafaidike).

Back kwenye topic, hii experience ya UK, imenifanya nipose kidogo kufikiria kuhusu wadogo zetu wa UDOM. Kuna uwezekano mkubwa tu kuwa kuna vocal ccm members kama 200 ambao wanafanya kile chuo kionekane kama mali ya CCM. Jiulize swali moja, kati ya wanafunzi maelfu wa UDOM, je ni wangapi walimchangia Kikwete? je ni wangapi waliipondea CHADEMA? je ni wangapi wanavaa tisheti na kofia za CCM?

Ukichunguza kwa makini, utagundua kuwa hiyo namba sio kubwa. Just like Maina Owino na wenzake wa London watakavyokufanya uamini kuwa UK nzima ni CCM, some guys UDOM wamefanya wengi hapa (mimi nikiwemo) tudhani kuwa UDOM nzima ni wana ccm.

Hata hivyo, hata kama wangekuwa ni wanaccm, walichokifanya jana ni kitendo cha ujasiri mkubwa. Wamemuonesha Kikula kuwa, wanaweza kuongea ukweli kwa mamlaka. Watapoteza mengi lakini wamefungua njia kubwa sana kwa future generation ya wana UDOM.

Na kwa hili... ninawapa pongezi.
 
kuna jamaa wawili (yes, wawili tu) walikuwa wanataka kuanzisha ccm USA, hawa nao sijui wameishia wapi
 
Inawezekana wengi wao wakawa hawawaungi mkono ccm lakini wale ambao ni wana ccm wa hapo udom labda ndio wanapewa nafasi zaidi kuliko wengine, na ndio maana watu wengi si hapa JF tu hata mitaani wanajua udom ni tawi/chuo cha ccm.
 
solomon david

umeandika weeeeeeeeee... lakini umeshindwa kutoa a single evidence ya justify hoja yako, hata ile ya kutunga tu na kusema kwamba nilihoji mia only seven were ccm

to me you just wanted to write something, hayo ya GT nk kwangu mimi ni rejea tu ambayo yaweza kuwa haiendani na mada

please do the needful by justifying your hoja
 
hao ambao siyo wana ccm hawajawahi kutuambia kwamba wao siyo wana ccm. tunaona kila mara kauli zinazotolewa na wanafunzi wa UDOM kuunga mkono ccm na hakujawahi kutokea kundi lililokanusha habari yoyote.

Kama wengi siyo ccm lakini wachache wanatoa kauli kwamba wote ni ccm halafu nyie mlio wengi hampingi hizo kauli basi mliridhia kuitwa ccm, hadi mambo sasa yanakwenda mrama ndiyo wanataka kuleta unafiki? mnataka sasa kuingia chadema in pretentious identity, eeh?

rudini huko huko.
 
Hata kama only a few ni CCM hawa walio wengi wanashindwa nini kupinga kila kinachoongelewa? Mfano juzi limetolewa tamko la kuwapinga wabunge wa CDM kwa kutoka bungeni lakini wao ambao ni wengi waalinyamaza kimya.

Hiyo ya kunyamaza hawaoni kuwa inawafanya wengi tuamini kuwa hicho ni chuo cha makada wa CCM?
 
Hata kama only a few ni CCM hawa walio wengi wanashindwa nini kupinga kila kinachoongelewa? Mfano juzi limetolewa tamko la kuwapinga wabunge wa CDM kwa kutoka bungeni lakini wao ambao ni wengi waalinyamaza kimya.

Hiyo ya kunyamaza hawaoni kuwa inawafanya wengi tuamini kuwa hicho ni chuo cha makada wa CCM?

Lazima watuonyeshe kwamba si walamba viatu vya mafisadi kwa vitendo. nafurahi FFU iliwapa mkongoto
 
We don't want to hear what they (UDOM students) say and instead we want to see what they do. Wanajua wansimamia wapi!
 
solomon david

umeandika weeeeeeeeee... lakini umeshindwa kutoa a single evidence ya justify hoja yako, hata ile ya kutunga tu na kusema kwamba nilihoji mia only seven were ccm
to me you just wanted to write something, hayo ya GT nk kwangu mimi ni rejea tu ambayo yaweza kuwa haiendani na mada

please do the needful by justifying your hoja

I wanted to take that route ila nikagundua kuwa nitachemsha... Nilikoanzia kwenye mjadala huu ndiko akili yangu ilihitimisha kuwa kunafaa kuanzisha mjadala huu (kuanzia na ccm London), mengine zaidi yana(ta)endelea hapa.
 
Jamani Mtoto akinyea mkono haukatwi! Wana udom wamegundua waliingia choo cha kike sasa wanataka kurudi hatuna budi kuwapokea
 
Hawana maana hao wao walizania kujipendekeza kwa ccm ndo wamewiniii, kama co ccm mbona wakati wezao wanaiponda chadema kutoka nje ya bunge, hawakusema chochote kama kukanusha? Ndo maana bado wengi tunaamini hao ccm ni ccm.

Waachewateseke wajuie nchii inatakuwa wapiganaji
 
Hao wanafunzi wana madai ya haki,msiingize siasa za ccm na chadema.Kwani hicho chuo cha udom ni chuo cha mamluki wa ccm na sio kwamba Kikwete hajui anajua vizuri michezo yao wanayoifanya kuwatapeli wanafunzi wa vyuo vikuu kama Udom kwa kuwadanganya kuwa wanawaandaa kuwa viongozi wa kesho.Udom hakuna chadema ila ni wana ccm wameamua kugeukana wenyewe
 
Hakuna kitu kibaya duniani kama unafiki...you UDOM guys you betrayed the people power due to your greedy and selfishness but you did forget that you don't belong to CCM...CCM ina wenyewe
 
Mmmmhhhh excellent mnarejea home taratibu, baada ya kupigwa mabomu mkajua
kumbe CCm hawafai sasa natamani mabomu zaidi mpigwe wote mje wenyewe CDM,
tunawakaribisha ila mpigwe vizuri kwanza, then mtajua CCM iliwatumia now u r scrapers,
FFU piga hawa, karibuni home wana Wapotevu
 
Mmmmhhhh excellent mnarejea home taratibu, baada ya kupigwa mabomu mkajua
kumbe CCm hawafai sasa natamani mabomu zaidi mpigwe wote mje wenyewe CDM,
tunawakaribisha ila mpigwe vizuri kwanza, then mtajua CCM iliwatumia now u r scrapers,
FFU piga hawa, karibuni home wana Wapotevu

Mkuu, mimi sio mwana UDOM
 
Back
Top Bottom