Set Lema free

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
DAY 2 in Jail ----Stop the injustice release Lema. Ndugu Watanzania petition Release Lema hapa.
 
set Lema freeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee................................. agggggggghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh na siku yenu ikifika!
 
EEE, Ndivyo inavyotakiwa.

Natumaini hii ndo njia mwafaka ili wananchi wengi nao pia wapate habari vizuri na wazidi kuichukia CCM.

Naunga Mkono Mgomo.

SET LEMA FREE

LEMA Hero for Our Generation
 
Mpigania haki siku zote maisha yake huwa ya msukosuko hata nyerere alishawekwa jela,Mandela mpaka alikataa mashariti yakutolewa jela ili aachane na siasa!!Lakini alikataa na wakakataa kumtoa!!Ila Lema watamtoa lakini jumuia za kimataifa zilisha pata habari kwani wana watu wao wa press associate kila balozi hapa nchini na wana nunua magazeti yote yanayotoka na kuyasoma na kufanya kilping nakutuma kwenye serikali zao.Pia na mashirika ya haki za binadamu na mashirika ya utawala bora hivyo hivyo yanaona kwa mantiki hiyo Serikali ndiyo inachafuka kwa Lema kuwa Gerezani!!
 
Msimwaribie ratiba zake, may be ameona jela ndio sehemu nzuri ya ku-meditate, mpeni muda kidogo..
 
Lema usitoke kaa huko huko Jela, hakuna mtu aliekupeleka na tarehe 14 usije mahakamani Kamanda wetu
 
serikali inafanya mambo ya kipuuzi halafu wakisikia wenzao wamefundishwa adabu na wananchi waliochoka kama Libya, Misri na Syria wanaanza sio jambo la kuomba litokee nchini kwetu, badilikeni msikae kutujaza ujinga kila siku wananchi kushinda kuwapigia makofi huku mkicheza na haki zetu
 
Back
Top Bottom