server

Mkuu haujasema unahitaji server ya aina gani na yenye specifications gani kuna server zinafika hadi dola 10,000
 
kinachofanya server kuwa server ni sofware sio hardware. Hata laptop na desktop ya kisasa inaweza kuwa server ikapiga mzigo fresh inategema ni software gani, user wangapi zinatakiwa kubebwa.
Otherwise wasiliana na sales represntativi wa HP au google Proliant server ucheki may be

Lakini kumbuka watu wa masoko wanaweza kuuuzia ngo'mbe kumbe wewe kwa mahitaji yako ulihitaji mbuzi. So better clear application gani unayotaka ifanye kazi kwenye hiyo server au ni hardware za kuhandle server application za aina gani hasa unataka kuwa nazo.
  • Database server
  • Application server
  • webserserver
  • Mail server
  • etc
 
maelezo yako poa sana.pia nimejifunza kitu.mtazamaji heko kwa post pana.
 
Back
Top Bottom