server haitaki kuwaka

makoe

New Member
Jan 17, 2012
4
0
Nina server ya dell poweredge 1800 ilizima ghafla na baadae ikawa inabrink rangi kama ya njano hivi kila nikijaribu kuangalia tatizo silipati na mara ya kwanza ilifanya hivyo na baadae ilirudi yenyewe. Sasa imeanza tena nifanyeje?
 
hebu eleza mazingira ya kuzima kwake. Ina CD drive? Ukijaribu ku boot linux toka kwa CD inakubali?
 
Nina server ya dell poweredge 1800 ilizima ghafla na baadae ikawa inabrink rangi kama ya njano hivi kila nikijaribu kuangalia tatizo silipati na mara ya kwanza ilifanya hivyo na baadae ilirudi yenyewe. Sasa imeanza tena nifanyeje?

Hizo rangi zina maana yake. Soma manual ya server kujua bliking ya orange colour ina maana gani. from there utajua wht to Do. Lakini mara nyingi hizo taao na rangi sign ya malfuntion ya hardware fulani

Mfano hiyo server inapokea input power supply ngapi?. Maan kuna server inapokea moto mara mbilina ina powe supply mbili mja kwa ajili ya standby.

Na baadhi server sometine zina batery kama CMOS amabzo sometine zinaweza kuexpiree.

But before Download manual mbali mbali kutoka hapa kwanza ujue nini tatizo

Mfano maelezo ya nini kinaweza kuwa tatizo yapo hapa Troubeshooting Dell Power edge

Table 2-1. System Status Indicator Patterns
Blue indicator Amber Indicator Description
OffOffPower is not available to the system.
OffBlinkingPower is available to the system, but the system is not powered on.
Off
BlinkingThe system is powered on and has detected an error. See "System Messages" and "Troubleshooting Your System" for more information.
OnOffPower is on, and the system is operational.

nadhani hapo nilipowekea rangi ndio kinachotokea. So kasome error logs utajua
Good luck
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom