Seriously natafuta msichana wa kazi za nyumbani (House Girl)

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Awe na mdhamini,
elimu kuanzia darasa la saba,
Umri kuanzia miaka 18,
Awe na afya njema,

Form four na kozi ya Computer ni Sifa ya ziada!!

Kazi yake kuu ni kulea mtoto mmoja,kufua nguo na kuchota maji.
Muda wa kazi ni kuanzia saa kumi na mbili asubu hadi saa tisa jioni!
Chakula,malazi,mavazi na matibabu kwangu!
Likizo itatolewa kila baada ya miezi sita!

Mshahara ofa yangu inaanzia 100,000/=
 
Ugeangalia sehemu ya kupost hiyo thread yako, either kwenye NAFASI ZA KAZI NA TENDA or MATANGAZO MADOGOMADOGO n.k
 
Mimi ninaye huyo mwenye sifa zote utakazo lakini najua si kweli unamtafuta kwa kazi za nyumbani bali unataka ummege tu na kumtumia kwa ufuska kwani hata thread yako uloanzisha ya kumfuatilia demu posta dar akakuzingua nilikupasha uache ufuska coz una mke na watoto ukabisha sasa leo umejichanganya mwenyewe kuwa una mtoto sasa ulibisha nini?

Usigeuze JF sehemu ya kufanyia ufuska aghaaaaaaaaaaaa jason mbona ivo lakini???pole kwa yule mkeo laiti kama angejua madudu yako sijui ingekuwaje.
 
Mimi ninaye huyo mwenye sifa zote utakazo lakini najua si kweli unamtafuta kwa kazi za nyumbani bali unataka ummege tu na kumtumia kwa ufuska kwani hata thread yako uloanzisha ya kumfuatilia demu posta dar akakuzingua nilikupasha uache ufuska coz una mke na watoto ukabisha sasa leo umejichanganya mwenyewe kuwa una mtoto sasa ulibisha nini? <br />
<br />
Usigeuze JF sehemu ya kufanyia ufuska aghaaaaaaaaaaaa jason mbona ivo lakini???pole kwa yule mkeo laiti kama angejua madudu yako sijui ingekuwaje.
<br />
<br />
unapata wap muda wa kufuatilia mambo ya mtu hivi...kwel we shangingi
 
Mimi ninaye huyo mwenye sifa zote utakazo lakini najua si kweli unamtafuta kwa kazi za nyumbani bali unataka ummege tu na kumtumia kwa ufuska kwani hata thread yako uloanzisha ya kumfuatilia demu posta dar akakuzingua nilikupasha uache ufuska coz una mke na watoto ukabisha sasa leo umejichanganya mwenyewe kuwa una mtoto sasa ulibisha nini?

Usigeuze JF sehemu ya kufanyia ufuska aghaaaaaaaaaaaa jason mbona ivo lakini???pole kwa yule mkeo laiti kama angejua madudu yako sijui ingekuwaje.
hahahaa wewe shangingi naomba urafiki aisee
 
Back
Top Bottom