seriously natafuta mchumba

KELLYN

Member
Jul 5, 2012
25
5
mi nimsichana natafuta mwanaume mwenye msimamo kwenye maisha awe mwaminifu mwenye kujali na kunipenda kwa dhat, awe mweupe au maji ya kunde si mrefu sana na awe anafanya kazi inayomwingizia kipato contact me through this no 0688129988
 
Siku ya leo naona wadada mnafunguka sana. This is grt!!!
All the best. Hop utampata atakayekufaa maishani!
 
mi nimsichana natafuta mwanaume mwenye msimamo kwenye maisha awe mwaminifu mwenye kujali na kunipenda kwa dhat, awe mweupe au maji ya kunde si mrefu sana na awe anafanya kazi inayomwingizia kipato contact me through this no 0688129988

Una umri gani na ni waimani gani bibie?
 
Unaonekana upo kifedha zaidi, maneno mafupi mno!!

Funguka,
Why unarafuta mchumba?
Ex-boyf kimempata nini??
Dini yako?
Umri wako?
Elimu yako?
Wasifu wako mwengine?
 
natafuta coz ma ex boy alinisaliti,
level yangu ya education, degree
mwajiriwa kwenye private sector
dini, roman catholic
age 26yrs
mwembamba kiasi,rangi yangu majiyakunde, height yangu average
the one i look awe kati ya 27-35
 
mi nimsichana natafuta mwanaume mwenye msimamo kwenye maisha awe mwaminifu mwenye kujali na kunipenda kwa dhat, awe mweupe au maji ya kunde si mrefu sana na awe anafanya kazi inayomwingizia kipato contact me through this no 0688129988[/QUOTE
Mimi ntakucheki,najua kupenda,ninajali,nina maisha mazuri tu,ila kabla sijakupigia simu nataka kujua unaishi wapi na uni PM nikupe mail addres yangu ili unitumie picha yako kwanza nijue kama unalipa.
 
:director:Nina kazi inayoniingizia kipato, mrefu, rangi inanitoa kwenye sifa zako. Kila la heri
 
Zali hili ila huu ugongoti ndio umenitoa kwenye hili,hivi wapi wnapunguza urefu jamani?All the best dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom