Seriously! I want to join freemasonry..

msaidieni mwenzenu....labda ana maana yake......

Jamani Mungu wetu sio dicteta, ametupa kuchagua ni mungu yupi wa kumtumikia, kama mwenzetu mwenye akili timam amewaza na kuwazua akaona shetani ni bora kuliko Mungu basi mi naona tumsaidie tu kujua namna ya kumwabudu mungu aliye mchagua.

Jamani Mungu wetu sio dicteta, ametupa kuchagua ni mungu yupi wa kumtumikia, kama mwenzetu mwenye akili timam amewaza na kuwazua akaona shetani ni bora kuliko Mungu basi mi naona tumsaidie tu kujua namna ya kumwabudu mungu aliye mchagua.
Hawa wanaojipeleka ndo wanaotumika kwenye makafara.

kila mtu ana uhuru na haki ya kuabudu anachotaka ilimradi havunji sheria. kama unadhani kuna mafanikio utakayoyapata kiimani na katika maisha yako ya kila siku kupitia imani hiyo basi itafute kwa bidii... tthere is miracles when u believe unaweza kupata muujiza wako huko kwa imani uliyonayo

Unawezaje kutamani kitu usicho fahamu? Ungekuwa na uwelewa juu ya hawa jamaa usingetamani kujiunga. Tamaa ya utajiri ndiyo inayotuponza. Kama ni wazuri kwanini wawe wasiri? Anyway Dar wana Lodge, kabishe hodi uwaombe kujiunga.

like other secret societies huwezi kujiunga FM kwa kuomba au kutaka. Unakaribishwa na mtu mwingine... ukiomba hivi hivi huruhusiwi.

Tena ukiwa na papara ya kujiunga wanaanza kukutilia shaka kuwa huenda ni mamluki/mpelelezi....na ukibainika wakati ushakuwa member imekula kwako..

to be one ask one. But do you know what you want to do? Sure?

The Priest, freemasonry is the culture freemasons follow. Mzee Mwafrika, unaweza kutuambia kwa nini unataka kujiunga na dhehebu hilo? Unajua kwa hakika ni maadili gani freemasons hutetea? Nimeona documentary kuhusu freemasonry ambayo imenifundisha kwamba kujiunga na hili dhehebu si rahisi. Utahitaji subira na uvumilivu nyingi kwani ni mchakato mrefu. Utaulizwa maswali nyingi pia kwa freemasons kabla ya kupokewa kama new member kwani they'll want to make sure they can trust you. Ni lazima pia umepita umri wa 18. And that's pretty much all i know...Be careful with sects and the like though! It can be extremely dangerous if you don't know what your doing.

Usimkatishe tamaa, mpe mwongozo ili ajue pa kuanzia....ukiona mpaka kaomba msaada kupitia hapa, jua kwamba amehangaika sana na inaonekana amejidhatiti kweli kweli kujiunga na dhehebu hilo.

kama upo bongo mfate mtoto wa marehem shehe yahya hussein atakupatia majina ya free masons wote then utawafuata watakupatia elomu na muongozo husika!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom