Seriously...Hivi MAFUTA ya TRANSFORMER Wanayaiba Kwa Ajili Ya Matumizi Gani?!!

Chios zote za masaki .kinondoni unazooona watu wanatoka mbwzibeach kuzifwata nwkudaii tamuu Yale yanapikiwa NA mambooyetu
 
Aisee, Kunta.... kweli kabisa napenda kujua tu matumizi yake. Kamwe huu si mtego..

Akhsante kwa wazo...

SteveD.
Wengine wanadai yanatumika kukaangia chips. Hii ni ka vile kwa kiasi kile kile, kwa mfano lita moja, utakaanga chips nyingi kwa mafuta ya transformer kuliko nafuta ya kupikia... na vile vile chips hazitakuwa na yale madoadoa meusi.... sina proof...
 
Back
Top Bottom