Seriouslly nahitaji mtu wa kuongea naye!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Last edited by a moderator:
Na gharama ndogondogo utanilipia?
I.e Gauni na kiatu cha mtoko,
hela ya kujaza gari mafuta,
Hoteli au Bar tutakayokutania nk.
Funguka tujitose.
 
nitupie ka- pm nikuelekeze kanisani uje kwenye mkesha tutaongea vizuri tuu na kisha tutakuombea
 
Usijali Zinduna nitakuja .............lakini napendekeza na Kaunga awepo si unajua maongezi ya threesome ndiyo mazuri
 
Last edited by a moderator:
Ooooh pole sana, i hope tatizo linaanza kuisha taratibu, usijali tatizo litakwisha tuu!
 
Kwanza pole sana, utavuka tu kwa mapenzi ya Mungu!
Niweke nambari yako ya simu kwenye PM nitakupigia.
 
Na gharama ndogondogo utanilipia?
I.e Gauni na kiatu cha mtoko,
hela ya kujaza gari mafuta,
Hoteli au Bar tutakayokutania nk.
Funguka tujitose.

Mie niko anga za huku Paje ZNZ, kama waja, nijuze nikutumie nauli kwa Voda Pesa malazi utalala hapa home
 
Ooh jamani! Pole, ndo maana nilikuwa nakuita uje ufunde wali kimakonde hapa nikajua umeninunia!
Haya sema unataka tukutane wapi, lini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom