Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Ubaguzi tu,sie wa kaskazini tuolewe na nani sasa:sick:

JF wachaga tutailaumu kwa kutukosesha wachumba!:twitch:

kila la kheri....:coffee:

Wanaogopa maendeleo hao!

Nimetumwa niwaambie kuwa mnaotafuta wachumba wote mbandike picha zenu, vyeti vyenu vya kuzaliwa na matokeo yako ya kipimo kikubwa.
mshkaji anatafta mchumba, nyinyi mnamuongezea idadi ya post tu. kuweni serious bana
 
Unamjali sana Kloro eeeh? mi nimemtakia kheri kwa kuwa tangia umesema una LOAN sichezi mbali.....labda Loan ikiisha ntapepesa macho...lol
 
Nitume email wakati sijajua ntakutana na nini huko???:twitch:Weka kila kitu mezani|!!!!

baba mchungaji hajambo???vipi ulipata vile vitunguu saumu sokoni,niko njiani natoka mbeya naweza waletea gunia nipokee baraka zangu??lol:hungry:
 
Unamjali sana Kloro eeeh? mi nimemtakia kheri kwa kuwa tangia umesema una LOAN sichezi mbali.....labda Loan ikiisha ntapepesa macho...lol
wewe weka list ya shopping lako tu. nikimalizia ma paper work tu nakuja unifilisi. samtaimu kuchunwa ni hobby bana hatuwezi kuepuka.
 
Haya wa Kaskazini tumeshatengwa hapa...
Mara vigezo vya elimu na dini vinakuwa tatizo, mara umri..

Kila la kheri kaka huko kwenye zone za Magharibu, kusini na mashariki
 
Uko realistic sana Kloro,yaani you can make fun of anything.....kitu kama kinakuuma,we kifanye hobby maisha yaendelee.....lol
me love you Kloro me love you!!!:laugh::laugh::laugh:
 
dah! hapo red hapo. akiona lizzy lazima ataweka kauzibe tu. me love you more bana wakijinyonga kazi kwao.
 
wakijinyonga ndo furaha yetu....tuzidi pendana na kuwa huru.....ma-paper work unamaliza lini my lv....nime kumiss wewe na zaidi hiyo LOAN....lol:laugh::laugh::laugh:
 
hapa ndani ya wiki 4 kitu na box, usjali kabisa yaani breki ya kwanza Eifel Tower Golden Plaza, vigesti vya sinza ni marufuku katika dikshineri langu.
 
Ndo wapi huko honey??? jina tu laweza niondolea appette ya LOAN na ile kitu.....mmhhhh
 
Haya wa Kaskazini tumeshatengwa hapa...
Mara vigezo vya elimu na dini vinakuwa tatizo, mara umri..

Kila la kheri kaka huko kwenye zone za Magharibu, kusini na mashariki

haahaa du!yani fulu lawama,any way ucjari wamachame wapo kibaaao!
 
Ndo wapi huko honey??? jina tu laweza niondolea appette ya LOAN na ile kitu.....mmhhhh
hiyo ni mitaa anayoishi hashy, uporoto na ze zefinest. hiyo mitaa zikipita dakika 45 hajanadiwa mwizi basi ujue yesu anarudi siku hiyo. hehehe matajiri tunapeta kweli aisee.
 
Ndo maana mimi hao Hashy,sijui Finest na Uporoto nitawasiliana nao kupitia JF tu,zaidi sitaki,manake hawashindwi nialika mitaa ya kwao nikafia huko kwa pollution...mmmmhh
Tuendelee kupeta tu na LOAN letu la World Bank,hela tamu jamani....:peace:
 
baba mchungaji hajambo???vipi ulipata vile vitunguu saumu sokoni,niko njiani natoka mbeya naweza waletea gunia nipokee baraka zangu??lol:hungry:

Hahahaah....weWE unataka nimkimbie baba mchungaji sasa ehhh???!!!Nwyz sasa hivi yuko salama ila hivyo vitunguu vinaweza vikaondoa huo usalama so plzzzzzzz tuletee kwenye malboro tu!
 
as you wish mama mchungaji......:laugh::laugh:
 
dah! hapo red hapo. akiona lizzy lazima ataweka kauzibe tu. me love you more bana wakijinyonga kazi kwao.

Ungejua mimi ndo nimemtuma wala usingesema!!Kwanzia mwanzo nlikua namzibia Hashy kwaajili yako!!!
 
Back
Top Bottom