Serious: Nifanyeje?

Pole sana - uwe na imani na maneno haya ya Mungu yaliyoandikwa kwenye Isaya 40:28-29 "Je wewe hukujua; hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya Dunia - hazimii wala hachoki; akili zake hazichunguziki; Huwapa nguvu wazimiao humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo" Please pamoja na kupumzika, pamoja na kufanya medical check-ups - you also need to check your spiritual life - tengeneza mambo yako na Mungu, uwe na amani na Muumba wako; wasamehe waliokukosea au kukukwaza - dont load u r heart with anything hurting you - halafu pray earnestly to God - I tell you you will recover in full colours - kama unaenda for a short holiday - then it will be right time for you to do this - Kula vizuri, fruits na kunywa maji ya kutosha halafu OMBA - God hears, listens and answer prayers - I believe you will recover - moyo ukilimewa sana - ina-potray from the outside - MAY GOD SUSTAIN YOU - KAZI UNAYOFANYA YA KULEA YATIMA NI KAZI YA MUNGU NA MUNGU HATAKUACHA - KWANI KUFANYA HIVYO UMEUUGUSA MOYO WA MUNGU
- nitakukumbuka kwenye maombi yangu.
 
Invicible una tatizo
Kuna wakati nami nilishawahi kupatwa na hali kama yako ila si to that extent!! Pum,zika chukua likizo hata ya wiki safiri nenda sehemu ya utulivu na nzuri
Do not go with anybody!
Do not go with your mobile phone
Do not go with your laptop/PC nor visit any internet cafe while you are there

Do relax completely

Itaweza saidia
Otherwise try finding other career completely new to what you are doing right now.
 
mkuuu hata mwandani wakoo usiende nae? nani atakufanyia massage? mhhhhh
 
mkuuu hata mwandani wakoo usiende nae? nani atakufanyia massage? mhhhhh

Agika
Let him try to explore hands and massage techniques of other professionals other than his/her mwandani.

Si umeona mwenyewe anasema hata familia yake anataka awakimbie!
 
Back
Top Bottom