Serious natafuta mchumba (mume)

madameA

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
435
176
Mimi ni dada naishi na kufanya kazi Dar es Salaam, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu, mkweli, mwenye hofu ya mungu ambaye mwenye uhitaji kama wangu.

Elimu yake iwe kuanzia degree na kuendelea, awe ameajiliwa/kujiajiri, mkristo, kabila yoyote. Akiwa hana mtoto itapendeza zaidi, akiwa naye mmoja sio mbaya.

Akiwa anaishi DSM itapendeza zaidi.

Wasifu wangu

Umri : 32 yrs
Elimu: Degree
Kazi: Muajiliwa
Dini: Christian (RC)
Sijawahi kuolewa na sina mtoto.

Niko very serious on this issue, hivyo nategemea kupata PM kutoka kwa ambaye yuko serious kama mimi. NO JOKES PLEASE.
 
Mimi ni dada naishi na
kufanya kazi DSM, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye
baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu,
mkweli, mwenye hofu ya mungu ambaye mwenye uhitaji kama wangu. Elimu
yake iwe kuanzia degree na kuendelea, awe ameajiliwa/kujiajiri, mkristo,
kabila yoyote. Akiwa hana mtoto itapendeza zaidi, akiwa naye mmoja sio
mbaya. Akiwa anaishi DSM itapendeza zaidi.

WASIFU WANGU
Umri : 32 yrs
Elimu: Degree
Kazi: Muajiliwa
Dini: Christian (RC)
Sijawahi kuolewa na sina mtoto.

Niko very serious on this issue, hivyo nategemea kupata PM kutoka kwa
ambaye yuko serious kama mimi. NO JOKES PLEASE.

utapata mwayego ila usiweke expectations kubwa kwenye "mkweli na mwaminifu" usijekuwa dissapointed.
 
Mimi ni dada naishi na kufanya kazi DSM, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu, mkweli, mwenye hofu ya mungu ambaye mwenye uhitaji kama wangu. (Elimu yake iwe kuanzia degree na kuendelea), awe ameajiliwa/kujiajiri, (mkristo), kabila yoyote. Akiwa hana mtoto itapendeza zaidi, akiwa naye mmoja sio mbaya. Akiwa anaishi DSM itapendeza zaidi.

WASIFU WANGU
Umri : 32 yrs
Elimu: Degree
Kazi: Muajiliwa
Dini: Christian (RC)
Sijawahi kuolewa na sina mtoto.
Niko very serious on this issue, hivyo nategemea kupata PM kutoka kwa ambaye yuko serious kama mimi. NO JOKES PLEASE
Nilimowekea mabano ndo utata dini yangu near Al sha boko haram Elimu std 7! Ila sifa nyingine ninazo unaniruhusu niku pm!
 
God Almighty has listen to your voice and you will be granted with a trustful man, If you are real loyal woman you will get loyal man. Best wishes MadameA.
 
ungeweka hata picha yako, ingekuwa vizuri! mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia sio issue aisee!vile weka mawasiano basi. mimi niko tayari kuwa wako!
 
Ila hapo uwe makini kwasababu kama mtihani umeshatoa majibu so don't na wasanii watakuja wameshajipanga! Kila laheri
 
Ka huna mtoto, vp ushawahi kutoa mimba?

Aliyekutosa huenda alikutosa kwasababu mimba zinachoropoka,, unamaoni gani katika hili?

Naomba unijibu kabla sijaku-pm.
 
Kuna ID zingine jinsi jina lilivyo zina reflect na comment zao maana dada amejitoa mhanga kutoa yaliyo moyoni wanakuja watu wanam-discourage na ukiangalia ID zao zinafanana na comment zao kabisa
 
Muombe Mungu dada yangu na hakika atakujaalia mwenye mvuto na pendo la dhati kwako.. Ila naomba nikueleweshe kutokuwa mwaminifu haimaanishi kwamba hupendwi.. Hiyo ni moja ya hasara ya mapokeo ya mfumo dume duniani.. Muhimu ni heshima.. kwamba akuheshimu kwanza kama mwanamke na pili kama mwandani na ubavu wake..
 
Muombe Mungu dada yangu na hakika atakujaalia mwenye mvuto na pendo la dhati kwako.. Ila naomba nikueleweshe kutokuwa mwaminifu haimaanishi kwamba hupendwi.. Hiyo ni moja ya hasara ya mapokeo ya mfumo dume duniani.. Muhimu ni heshima.. kwamba akuheshimu kwanza kama mwanamke na pili kama mwandani na ubavu wake..
Hapo kwenye black napo neno..
 
Thank U ALL for the contribution and moral support. I hope to get a man of my dream through JF.
 
Kila la heri dada.. Utapata PM nyingi sana ila sio kila PM unayoipata huyo mtu yuko serious..! Inabidi ufanye upembuzi yakinifu.. Ninavyokuambia hivi nina ushahidi.!
 
Aksante kwa ushauri nitaufanyia kazi. Najua kwenye msafara wa MAMBA na KENGE hawakosekani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom