Serious Married man needs a right woman

Rahajipe

Senior Member
Oct 29, 2012
165
63
Kwa muda nimekuwa katika uzi huu na kugundua kuwa ni sehemu ambayo inapitwa na watu wenye upeo mzuri juu ya maisha ya kila siku. Mimi ni mwanaume lijari ambaye nina mke na watoto wawili, nimepata kuajiriwa serikalini na katika mashirika ya kimataifa kwa zaidi ya miaka kadhaa, na sasa nipo kwenye private sectors (self employed). Pamoja na hayo kutokana na sababu binafsi nahitaji kupata mwanamke mweenye wasifu zifuatazo (Hasa kwa hawa ambao wamekuwepo humu kwenye forums kwa muda sasa):
Awe na umri kati ya 25-35
Awe na elimu kuanzia Form 6 na kuendelea
Ameajiriwa (awe na kipato cha kukidhi mahitaji, utajiri si kigezo sana)
Awe single, ameachika, anayejitegemea (mwenye motto anakaribishwa)
Awe na rangi ya asili (Sitaki mkorogo)
Mwenye urefu kuanzia ft 5 na kuendelea
Awe mpenda amani na mcha mungu.
Awe na figure ya kuridhisha ( Namba nane, sitaki mwenye nyama tumbo za kumwagika)
Ucheshi ni kigezo muhimu nacho.

Naleta hili kwenu kwa nia ya kweli na Yule ambaye yupo serious naomba anijibu moja kwa moja kupitia PM ili tufanye mahojiano binafsi. BROKEN HEART needs your FARAJA.

modes hold for moment on front page this thread
 
Go back to your wife kamuelezee hayo mahitaji yako hapo and then uje utupe feedback.... Some people have got nerves!
 
Unamtaka kwa malengo gani wakati umesema una mke na watoto wawili?



PakaJimmy Nakuheshimu wewe acha kunizengua! Sasa haya marumbano!! kwani umeambiwa kuna kikomo cha kuoa kwa mwanaume?!
Reply will be to the serious needed only.
 
Ombi langu kwa Mungu,ombi langu kwa baba nawewe ndugu ukumbukwe na Mungu,,kila siku zisogeapo nazidi kutambua kumbe adui yako ni wa karibu mno,awezaye kukuumiza moyo na kukuachia jeraha ni wa karibu mno,hata Yesu aliyemsaliti ni wa karibu mno,tunapomsoma habili aliyemuua ni wa karibu mno,tunapomsoma yusuph waliomuuza ni wa karibu mno,unaposikia mjane ama yatima kanyang'anywa aliyefanya hivyo ni wa karibu mno,njoo Yesu njoo tumebaki yatima,baba anaikimbia familia yake,mke wake hata huyo atakayempata atamuacha kwa kuwa ndiyo tabia yake oooooooooooooohhhaaaaaiiiiiiiiii eeeeeehhhhh Mungu tusamehe,wasamehe wazazi wetu aaaaaaahhhhhhhhhhoohhhhhhh ohhh Mungu baba tunatubu mbele zako kwa niaba ya wazazi wetu aaaahhhhhhhhhhoo hh baba
 
Siku hizi mtu haoni haya kujitangaza kuwa yeye ni malaya.

Haya wananchi, tenda hiyo. Malaya anatafuta malaya mwenza wakavunje amri ya 6.

Tulipofikia sasa, tofauti ya binadamu na mbuzi ni kuwa mbuzi wanafanyia hadharani
 
ukewenza sio mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee
nikutanishe na mkeo kwanza tupange ratiba nione kama nitaiwezea
 
  • Thanks
Reactions: awp
Yoote tunayasema lakini ukweli uko palepale, kuoa mke mmoja hadi kumi hakukuanza leo! rejea katika vitabu vitakatifu. Heri wanaoyaweka mapungufu yao hadharani kuliko nyie mnaofanana na mtu anayejaribu kuficha kaa la moto mfukoni mwa suruali aliyoivaa, wenye maswahiba wapo wengi na kwa kila jinsia naamini kuwa wale walionielewa watanifuata.
 

Awe na umri kati ya 25-35
Mwenye urefu kuanzia ft 5 na kuendelea
Awe na figure ya kuridhisha ( Namba nane, sitaki mwenye nyama tumbo za kumwagika)
modes hold for moment on front page this thread

Hivyo vigezo vina utata!!!! Umri wa miaka 25 - 35 haugandi, maana hata huyo uliyenaye ulimwoa akiwa na umri huo huo, sasa umemchosha, unataka kifaa kipya. Kuhusu figure, hiyo nayo siyo ya kudumu kwa nini umlazimishe mwenzako kushindia maji na biscuits ilihali wewe unabugia Mzee na Meza na maji ya mchikichini ? Kama ulivyoonyesha kuwa mkeo ana watoto wawili, mbona bado mbichi ? Hebu mtengeneze mkeo atapendeza kama hawa wa wenzako unaowamezea mate. Hakuna mwanamke mbaya, mpige pamba, mpe uhuru, toka naye, mwezeshe na mjengee tabia ya kujiamini halafu utaona kuwa dunia nzima ni wewe uliyeoa !!!! Huyo ndiye Mungu aliona nakufaa, ridhika naye, wengine wote watakuja kikazi au kibiashara zaidi.
 
PakaJimmy Nakuheshimu wewe acha kunizengua! Sasa haya marumbano!! kwani umeambiwa kuna kikomo cha kuoa kwa mwanaume?!
Reply will be to the serious needed only.

Kwa hili Mkuu PakaJimmy awe makini na wewe, nakuunga mkono kwa mkwara wako. Kama umeshindwa kuheshimu ndoa yako, uchi wako, familia yako, mkeo na hata ukashindwa kujiheshimu mwenyewe, basi sidhani kama utashindwa kumvunjia heshima mtu mwingine.

Yaani wewe mzinzi unakuwa mkali kabisa na kutaka tuamini kuwa umeonewa?

Well then, if that is the case, mkeo naye anatakiwa kupewa faraja. Weka namba yake hapa kwani hapa wapo wanaume mabingwa wa kufariji pia, au?

Mathayo 15:10-11, Mathayo 15:16-20
 
Last edited by a moderator:
kha...wee love connect ya nini kaka wakati vidosho wanashobokea sana married guus...kamayia huko huko kitaa...tena utawapata kirahisi sana na kijimegea kwa raha zako
achana na hapa jf...wengi ni wazushi tuu
 
kha...wee love connect ya nini kaka wakati vidosho wanashobokea sana married guus...kamayia huko huko kitaa...tena utawapata kirahisi sana na kijimegea kwa raha zako
achana na hapa jf...wengi ni wazushi tuu
maybe wewe ndo mzushi!
kama hatutaki waume za watu
 
Hivi, a married muslim guy with several children is not allowed at JF love connect?
 
maybe wewe ndo mzushi!
kama hatutaki waume za watu

hahaha ningelikubali hilo kama married men wangekuwa hawapati utamu toka kwa wanawake amabao sio wake zao....ila kwa kuwa nina uthibitisho wakutosha kuonyesha kuwa wadada town wanamegwa na husbands wa watu basi mie sio mzushi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom