Serious man needed baadae awe mume

8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Hili sharti gumu sana, nadhani ni pande zote sio upande mmoja, kila mtu anakuja na mawazo yake kwahio lazima uwe mpole mkubaliane
 
RRONDO unasemaje hapa..

Yaani mimi nimekidhi vigezo vyake vyote isipokuwa namba 8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.

Ila yeye hajakidhi vigezo vyangu vingiiii...

labda yuaweza kukufaa ukifumbia macho kigezo cha muda wa kujiunga!
 
Join date siwezi kuifumbia macho. Hio namba 8 kwa kifupi anajaribu kusema kama una convincing power ya kutosha utakula mzigo otherwise angesema ni mpaka ndoa no buts!
 
Najua wote ndo mnachokitafuta, hapa bila bila

Aaaawapi mdau hata wewe huo mchezo waupenda wewe sema kujiposition ndio kunaku-cost usitusingizie sisi tu wote sisi na wewe / nyie wapambanaji wa mbavu za wenzetu

TUNATEGEMEANA KWA KIASI KIKUBWA | ILA USITEGEMEE KUPATA MTU BUTU ASIKUKWEE MPAKA NDOA
 
Huyo mume atakuwa computerised yaani kawekewa chip kichwani. Elewa kuwa human beings are very complex na life is not predictable asilimia 100. Siku mnaanza kuishi atabadilika yeye au wewe.

Mfano mzuri ni weather forecasting.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom