Serious and real smart beautiful girl required for serious relationship.

Akienda jeshini kwa no. 13 atapata wa kumpigia salute kabsa. Devil is driving you crazy. Utapata mchumba ila si kwa vigezo hivyo.
 
Sijawahi kuona mke anatafutwa namna hii akitegemea kupata mke kwa vigezo badala ya kumuomba Mungu atakuwa anaendelea kuota ndoto za mchana
TF
Nadhani huyu anatania tu. Kama yuko serious, ningemshauri aombe Mungu sana ili amuumbie wa kwake kama alivyo sema FA hapo juu. Mwanamke aliye tayari kutimiza masharti ambayo yanakinzana yenyewe mbona kazi!

Imagine kwa mfano mwanamke atakayetimiza kigezo hiki:
13: "You should be ready and willingly to respect, obey and observe my directions,commands,wills,wishes and ideas without any strong criticism." halafu hapo hapo aweze kutimiza hili:

14:"
You should be courageous girl." anahitaji kuwa programmed na Muumba tu. Binadamu hawezi kufyatua mtu mwenye "features" zote azitakazo huyu bwana.

Tumtakieni kila la kheri.
ANGALIZO:
Wadada watakaoweza kuingia kwenye mchujo na hatimaye kuibuka kidedea mjiandae kwa maisha ya mateso na msalaba hadi kifo kitakapowatenganisha!
 
WOS kwa hivyo vigezo lazima watarajie hapo kwenye bluu kama ulivyosema
 
Sijawahi kuona mke anatafutwa namna hii akitegemea kupata mke kwa vigezo badala ya kumuomba Mungu atakuwa anaendelea kuota ndoto za mchana

Asiwe na wasi wasi, huyo mwanamke atampata kabisa, ila by the time wanaishi for 6 months atagundua lilikua gamba na kigezo kilichobaki ni namba 3 tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom