Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali za Ugatuzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by victor11, Jul 20, 2013.

 1. v

  victor11 Member

  #1
  Jul 20, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nimeshuhudia barabara nyingi zinazojengwa chini ya halmashauri zetu haswa mkoa wa Dar es Salaam hazidumu zaidi ya mwaka kabla hazijaanza kuwa na mashimo, je hili ni tatizo la uwezo wa mainjinia wetu.

  Ukipita barabara ya Kinondoni kuelekea makaburini utaona barabara inavyotengenezwa, hicho ni kioja. Je ni nani anayepaswa kusimamia haya.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jul 20, 2013
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,349
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mkuu hutaki ugatuzi au una maana gani? Hutaki ugatuzi wa madaraka au neno ugatuzi limeingia kwa bahati mbaya?
   
 3. W

  Wazo la kabwela JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2013
  Joined: Feb 13, 2013
  Messages: 1,067
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Mbona mada na kichwa cha habari haviendani?
   
Loading...