Kosa walifanya kujiuzia nyumba zetu na viongozi wa serikali ni lazima wapewe nyumba, sasa kinachonisumbua ni kwanini wasijenge nyumba za kawaida?Yeah, bado kuna mawaziri hawana nyumba kwa sababu serikali ya Mkapa iliamua kubinafsisha nyumba za serikali.
<br />Babu kijana hata hamu ya box imemtoka.
''Íf you want to live straight life in africa, you die a poor man''
<br /><font face="Lucida Console"><font color="sienna">Romania karibuu<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/teeth.png" border="0" alt="" title="Teeth" smilieid="302" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/teeth.png" border="0" alt="" title="Teeth" smilieid="302" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/whoo.gif" border="0" alt="" title="Whoo" smilieid="322" class="inlineimg" /></font></font>
Sidhani kama kuna ubaya wowote viongozi kuwa na official residents lakini tatizo liko wapi wakijengewa kwenye kiwanja kidogo,nyumba ya kawaida bila swimming pool na furnitures kutoka hapa hapa nchini?...si waliuziwa nyumba wajameni....labda tuweke sheria na huyu anne asijiuzie......sinayeye anayo nyumba nyingine aliyonunuaga kwenye utumishi wa umma..?
sioni ubaya kuwa na official residents kwa ajili ya spika,jaji mkuu.,wakuu wa idara nyeti.,meya wa jiji etc..lakini wazuiwe wasijiuzie..please....
angalieni spika sitta ameondoka hadi na ofisi ya kifahari ya hadhi ya uspika urambo..tena iliyofunguliwa na Rais...
Hii ni hali katika hospitali zetu.Baadhi ya walipa kodi wakiwa wamelala au kukaa chini kutoka na uhaba wa vitanda na viti,sehemu ya pesa zao ndio zinatumika kujenga majengo ya kifahari.
Kwa sababu za kiusalama anayetembea eneo kama hilo lazima avae helmet au zana zingine zozote za kujikinga na hatari mbalimbali kama kudondokewa na tofali, msumari nk. Picha inaonyesha wengi wa waliofika(kutembelea eneo husika wamejitahidi kuvaa at least helmet kama kinga ya hatari na ajali zitokanazo na ujenzi isipokuwa wanawake.
Hivi wanawake hawaruhusiwi kuvaa helmet? Je walipewa wakakataa zitaharibu wigs siju weaving zao, au hakuna size yao?
Vinginevyo spika Makinda au msaidizi wake hawajali usalama, nahofu kama huwa wanafunga mikanda wanaposafiri kwa gari.
Anna Makinda hatakiwi kukagua ujenzi wa hiyo nyumba kwa sababu haitakiwi kujengwa kwa taste za Makinda, inatakiwa kujengwa kwa viwango vya kiserikali vinavyostahili spika yeyote yule.
Ina maana kesho na kutwa spika akiwa John Mnyika na yeye aseme nyumba hii ina kuta za pink na mandhari za kike kike maana ilijengwa kupendeza taste za Makinda, nataka nyingine, au?
Aaah huku wafika pia Maria Roza?
Romania upo weye pande gani hapa??? Ne putem întâlni Maria Roza?
Babu kijana hata hamu ya box imemtoka.
<br />
<br />
ha ha haaa,kama ulikuwepo mkuu.box la huko maria roza asente endelea nalo tu.acha nisalimishe mgongo wangu.