Serikali yetu ilikusudia kushughulikia mgomo wa madaktari kwa slyle ya mheshimiwa Pinda

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Kitendo cha serikali kukaa kimya tangu sakata la mgomo wa madaktari unaanza hadi kufikia siku ya saba na kutoa maauzi yasileta tija ilikuwa ni mpango wa serikali kutafuta kuungwa mkoono na wananchi.
Waziri mkuu na waziri wa afya walikimbilia vyombo vya habari badala ya madaktari.
Uongozi wa wizara ya afya ulitoa ujumbe ndani ya nusu saa kuwa wanakuja star light wakitegemea watagomewa ili waambie wananchi madaktari ni wakorofi
Waziri mkuu aliwataka madaktari waonane naye jpli na taarifa kkatoa jioni na pamoja na kupelekewa barua nyumbani kwake bado alikwenda Karimjee na je alitegemea kukutana na madaktari gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom