Serikali yenye watu vipofu wakati mabank yanakufa.

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,175
11,177
Mara nyingine narudi jamvini kwakusema BOT Imevamiwa na mafisadi. Ndugu wa Tanzania amin msiamin Mpesa, tigopesa, zap,airtel money vinauwa mabank, nakwakuwa tunaserikal kipofu isio nawataalamu wameacha hali hii huku mabank yakiwa ktk hali ngumu. Nataka kusema pind watashituka tm out.
 
mabenki kama nbc, nmb na crdb zilizidisha dharau kwa wateja...... big up mpesa... pia
 
Hakuna tatizo wakuu wote wanazunguka mwisho wanatudi bank. Ila cha kuwashauri wateja na serikali kuwa makato ya kutoa na kutuma kwa mtandao ni makubwa sana
 
Hatuko tayari kuona mabenki yanakufa eti MPesa, Tigopesa Airtelmoney, Ezypesa etc. Kwanza kuna utata juu ya mapato na kodi wanazolipa, pili hakuna public offer kwa watanzania hivyo yanamilikiwa sijui na wageni 100% hata hatufahamu, hence huduma hizo zipigwe chini au kuwe na limitations kama account kuwa na kiwango cha juu cha 30,000/- sio mamilioni kama ilivyo sasa; yaani iwe kwa hela ya dharura na mboga au unga wa siku moja tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom