Serikali yenye uongozi legelege inaturudisha kwenye UJIMA

King Suleiman

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
496
327
Salaam ndg wana jamvi,nakumbuka enzi zile tunsoma history hasa modes of productions tulisoma hatua ya moja wapo ya uzalishaji mali ikiitwa UJIMA ( primitive mode of productions). hii ilikua hatua duni sana ya mwanadamu hususan kwenye suala la technologia ambayo ilikua chini sana na maendeleo pia kua chini kupita kiasi, watu walikua wanafurahia mavuno kwa kucheza ngoma na nyimbo.nimeanza na introduction hiyo kwanza huku nikiingalia serikali yetu inavyocheza na masuala ya nishati hususan umeme na mwisho wa siku wanaturudisha kutumia vibatari na mishumaa, wanaturudisha kule kwa zamani kwenye ujima.kakatika karne hii ya sayansi na Technologia umeme ni kiungo muhimu sana, sasa viongozi wetu wanapotoa majibu mepesi wanaturudisha kwenye ujima kule tulikotoka, inasikitisha sana.Ni imani yangu siku moja tutapata ukombozi halisi wa kifikira na kiamendeleo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom