Serikali yawapoza madaktari Mkutano wa kesho waalishwa

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF

Nimepata habari kuwa mkutano uliopagwa kati ya madoctor na serikali kesho 03.3.2012
umearishwa baada ya serikali kutekeleza matakwa yao

Dr Ulimboko naona kanywea hana maneno sasa

Asante saana serikali
Afya ya watanzania
 
Endapo kama wametekelezewa itakuwa ni heri. Lakini waangalie isiwe wametelekezwa badala ya kutekelezewa.

Tunaomba iwe heri maana ile ni balaa yaani isiwekwe kabisa katika Historia ili watoto na wajukuu zetu wasiyajue yaliyotokea kipindi hiki.

KAULI MBIU: MUNGU WABARIKI WATANZANIA WALE WALALAHOI TU. MUNGU WALAANI MAFISADI NA VIONGOZI WABOVU.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
WanaJF

Nimepata habari kuwa mkutano uliopagwa kati ya madoctor na serikali kesho 03.3.2012
umearishwa baada ya serikali kutekeleza matakwa yao

Dr Ulimboko naona kanywea hana maneno sasa

Asante saana serikali
Afya ya watanzania

JK ni vyema ukawa unasoma kwanza post zingine kabla hujaposti, hii issue inajadiliwa kule jukwaa la siasa! Na hizo habari ulizopata wewe ni UZUSHI...Kesho madaktari wanakutana pale NSSF Water fronf kwa maamuzi magumu!
 
Hakukuwa na haitatokea kukawa na mgomo Tza hata iweje!Kuna mikwara mbuzi tu!Madai yaliyotekelezwa ni kuwamwagia unga kina Nyoni & Mtasiwa tu(ambapo hakuna faida yoyote hapo).
 
Back
Top Bottom