Serikali yatoa ubani kwa marehemu Arusha

"Mkichagua hovyohovyo, msilalamike hovyohovyo wakati mtakapofanyiwa hovyohovyo" Jenerali Ulimwengu
 
is too late, tayari watanzania wameisha badilika kifikra. Hawawezi tena kurudisha imadi yao kwa wananchi.
 
Hapa sijaelewa,
polisi ktk tamko lao inaonesha hawa marehemu walivunja sheria. Sasa siri kali inatoa rambirambi kwa wavunja sheria. Yaani sasa majambazi wakiuawa na polisi, serikali itatoa rambirambi?

This is stupid and crazy!

Na mimi hicho kimenishangaza, polisi wanasisitiza viongozi na wanachama walikiuka sheria za nchi na kulikuwa na tishio kubwa la usalama, ndio sababu waliona ni vyema kuwapeleka mahakamani viongozi wa Chadema, wanapotoa ubani ni kusema jamani poleni sana Polisi walikosea......
 
Oooh maskini,kumbe kuna watu waliuliwa! ni wangapi? ninataka nitoe rambirambi zangu shilingi 1000 kwa kila familia.Mimi huwa si mtu wa maneno matupu kama wengine,ninaonesha vitendo.Sasa nipeleke wapi rambirambi zangu?
 
Back
Top Bottom