Hiyo mahakama ya kadhi hata ikiwepo haitakuwa na nguvu yeyote. Tena kwa namna CCM ilivyoonja joto ya jiwe kwa wabunge wake wengi waliokuwa wakishabikia hoja hiyo kubwagwa nafikiri kitakachofuata ni changa la macho. Isitoshe Tanzania inategemea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nchi ambazo ni za kikristo kwa maana hiyo sipendi kuamini kuwa Serikali ya Tanzania inaweza kujaribu kumega fedha za hao wanaoitwa "makafiri" kulipa mshahara wa kadhi na watu wake. Ndiyo maana hata kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM safari hii sikusikia wakikazia jambo hilo. Hivyo kujifariji hawakatazwi ila ukweli itakuwa vigumu kuupinga.:loco: