Serikali yatoa Tumaini Mahakama ya Kadhi

Hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, Je unajua maana ya Muslims kuwa na mahakama ya Kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita Uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.

Source: Mwananchi
 
Muslimu for muslimu not for all TAnzanian. Hivi Kodi zitokanazo na kuuza nguruwe, Pombe nazo zaweza endesha mahakama ya kadhia.

Na hivi kodi zinazolipwa na waislamu zinaenda wapi? Bakhressa No 1 Taxpayer kodi yake inaenda wapi? Zakhem, SSB, Abood, Zakaria Companies hawa kodi zao zote zinaenda wapi? Mie ninakatwa kodi ya milioni moja kila mwezi inaenda wapi? Msitake kutuzingua hapa!!!
 
Mahakama ya kazi ni shida sasa itakuwa inawahukumu watu wa dini zote au wenyewe tu, tatizo bongo kila kitu ni deal unakuta hiyo ni deal ya watu tu.
 
Kaka tupo pamoja hizi tactics za baadhi ya watu kudhani eti tanzania ya kikiristo zinaniboa sana. In fact kwa statistics waislamu ni wengi kuliko madhehebu mengine yote. Lakini kwakuwa jamaa walihodhi madaraka tangia enzi za nyerere wanataka kutufanya waislamu tuwe underdogs kila siku kuleta mada zenye kuchafua tu hali ya hewa. Tutaumana humu ndani mpaka kieleweke hii karne ni nyengine wazee.

Mkuu kuna mtu alipenyeza na kupandikiza hisia kuwa Tanzania ni nchi ya kikristo, mpaka sasa kuna watu (wenye akili finyu) wanaamini kuwa Tanzania inatawaliwa na wakristo na ni nchi ya Kikristo. Huwezi kuamini lakini ni kweli, hata hapa JF kuna watu wanaamini hivyo. Ukweli ni kwamba TAnzania ni ya watanzania wenye dini na wasio na dini.

Huwa nashangaa sana ninaposikia watu wanajiita waislamu, ukiangalia matendo yao unaweza kuamini kuwa hata shetani anawashangaa. Kuna wengine wanajiita wakristo ukiangalia mambo wanayofanya mpaka shetani anaweza kuogopa.

Dini ni dili wanayotumia watu kufikia malengo yao kiuchumi na kisiasa. Ukweli ajenda sio kuendeleza maadili mazuri ya dini, ni uchumi tu na siasa.

Mtu yoyote awe mkristo, mwislamu au kama Kingunge, kama anafaa kuongoza Tanzania na aongoze, kama hafai asiongoze na sipewe nafasi. Kama waislamu wanadhani kuwa udini wa waislamu unatokana na kutokuwa na mahakama ya kadhi au Tanzania kuwa na wakristo wengi, watakuwa wanafanya makosa makubwa sana.

Somalia wamejitahidi kuchinja wakristo karibu wote, almost hakuna wakristo..look at them now, na Iraq sasa wameanza kuua wakristo. Hakuna cha maana watakachopata zaidi ya chuki na hatari baadaye.
 
Good point mkuu labda nikuulize umesema Tanzania ni yetu sote sasa kama waislamu na sehemu ya watanzania wanahitaji pia uhuru wa kufanya mambo yao nchi kuna ubaya gani wakapewa mahakama ya kadhi. hebu nipe sababu mkuu at least wewe unakuja na mlango wa kistaarabu.
 
Nani amewakataza wasiwe na mahakama ya kadhi or whatever they need to do?!!!!!ISSUE HAPA NI KUHIHUSISHA SERIKALI KATIKA MAMBO YA A GROUP OF PEOPLE KWAHIYO NA WALE WANAOABUDU MASHETANI, CHURA, UCHAWI, WAPAGANI, JE WOTE WAOMBE WAPEWE MAHAKAMA ZAO KWA KUISHIRIKISHA SERIKALI????? HII NCHI HAINA DINI KILA KITU RUKSA ILA MAMBO YENU MUYAFANYE WENYEWE MSIHUSISHE WATU WENGINE grrrrrr aRRRGHHH :doh::A S angry:
 
Kwani waliomba wakakataliwa? Unakasirika bure mkuu this is pointless
 
listen ndugu, hakuna haja ya kuomba wewe kama unataka anzisha huko huko kwako sio mpaka upate baraka za serikali we have more important issues za kuihusisha serikali
 
Kwangu wapi ndugu wewe vp? Tanzania ni nchi yangu na tutabanana hapa hapa
 
utabanana na nani hapa unapigana na mtu ambae hana muda wa kupoteza am a believer in democracy mtu kufanya chochote anachotaka bila kuvunja au kuingilia uhuru wa mwenzake so I will have no problem wewe na wenzako mkianzisha mahakama yetu kwenye vijiwe vyenu hey i dont even have to know about it
 
aNZISHA MSIKITINI NA ALIPWE NA MISIKITI KWANINI UTAKE ALIPWE NA KUTAMBULIKA NA GOVERNMENT? HAKUNA ALIYEWAKATAZA MKIFUNGUA HUKO MISIKITINI KWENU BWANA!
 
What is democracy by the way kama wewe ni mtu democratic. Usifikiri waislamu ni vihiyo kama stereotype mind yako inavyokutuma na waislamu kama watanzania wanatumia their democratic right kufight mahakama ya kadhi sasa wewe mwanademokrasia lete hoja ya kuipinga kama unayo. Na unadai tuipeleke vijiwe vipi? another pointless good for you
 
aNZISHA MSIKITINI NA ALIPWE NA MISIKITI KWANINI UTAKE ALIPWE NA KUTAMBULIKA NA GOVERNMENT? HAKUNA ALIYEWAKATAZA MKIFUNGUA HUKO MISIKITINI KWENU BWANA!

Hahaha labda waislamu sio watanzania I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom