Serikali yatoa ramani mpya ya Tanzania

mimi niliisoma hii ,sioni upya wake.Ni magamba tuu walilala zamani huku wakijua kuwa tataizo lilikuwepo tangu uhuru na mwalimu aliweka meli kama Move ya kwanza.Mkapa na Kikwete wakashidwa weka meli zingine mapema hadi leo.JK katoa hadi kibao sasa wamalawi wanamkumbusha hizo ahadi,.Ingekuwa CDM magamba wangetafuta sababu ya kukwepa.
 
Ni vizuri kuwa ramni zimetolewa, hata hivyo zimechelewa sana na kwa maana hiyo ilikuwa hakuna haja kufanya jambo kubwa kama vile awali tulikuwa hatuna ramani.

Suala la pili ni hili la kukurupuka leo kusema Wizara ya Ardhi ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha ramani, sina pingamizi na hilo, lakini je wizara hii ilikuwa wapi wakati tunauziwa ramni barabarani na wamachinga kila kona hapo Dar es Salaam? wao wataalam na wenye mamla wa wizara hiyo hawakuwa wanaziona hizo ramni zikiuzwa? na hata leo hii bado zinauzwa. Ifike mahali hizi kauli za kuwahadaa wananchi zifike mwisho na ni vizuri tunapozungumza na waandishi wa habari kujiandaa na kutafakari mapema nini unachoenda kuzungumza.

Kama hoja ingekuwa tumeaadaa ramni kwa sababu ya mikoa na wilaya mpya hiyo inaeleweka, lakini hili la kusema kuwa ramani mpya itamaliza mgogoro wa Tanzania na Malawi ni kupotoka, hilo siyo suala la ramani sasa.
 
Unachekesha sana!! Hiyo mipaka ya ramani ilibidi ufanye michoro mwaka 1961 wakati Tanganyika inapata Uhuru au Mwaka 1964 wakati Tanzania inaundwa. Hapo ndiyo unaona tulivyolala na kukurupushwa usingizini. Nchi hii tumelala kweli kweli, hata mipaka yetu tulikuwa hatuijui. Mie ndiyo mara ya kwanza hat kusikia hiyo Anglo-German treaty ya mpaka wa Malawi na Tanzania. CCM kweli imetulaza usingizi.

Hallo "tunatania sana" huwezi kuweka Nchi rehani kwa miaka 50. Big joke!! WE need change!! Big change in this country!

Nakubaliana na wewe kuhusu habari za Anglo-Germany Treaty, ila habari za mpaka kupita katikati ya ziwa ilikuwepo kwenye michoro yote na atlas zote, labda kama vilibadirika enzi za Mungai na wakati wewe ukiwa shule au ulisoma vitabu vya Malawi
 
nakumbuka shule ya msingi tulikuwa na kitabu cha ramani kwa lugha ya kiswahili maarufu kama atlas, kilikuwa na ramani (clear) zote kuanzia tarafa, wilaya, mkoa, tz mpaka dunia sasa nikiona watu wanadai tumekurupuka nakuwa sielewi wanamaanisha nini
 
Dar es Salaam. The government yesterday issued a new map of Tanzania that, among other features, shows the disputed boundary between Tanzania and Malawi to be in the middle of Lake Nyasa.The new map also shows boundaries of the new four regions and 19 districts created last year.

Good reply. Fulumbu ndiye kilaza
 
Mkuu, we utakuwa kilaza, hakuna mtu ambaye hajafundishwa mipaka ya Tanganyika na Hiyo mikataba ya Anglo-German ilifundishwa katika maarifa ya Jamii. Sasa sijui uliisoma. Kutoa mipaka mipya ni wajibu wao, na nia ni kuongeza regions zilizoongezwa. Pia kutoa ramani sio swala la kitoto kwamba ni kitendo cha siku au mwaka. Pia sio kwamba raman ilikuwa haipo, ilikwepo na ilifundishwa mashuleni.

mkuu huyu jamaa kakurupuka, inawezekana labda hakusoma tanzania.
Mi nimefundishwa ramani ya tz nikiwa chekechea na tulikuwa tunakariri na kujua kila mkoa ulipo na unapakana na mkoa gani au nchi gani jirani.
 
Dar es Salaam. The government yesterday issued a new map of Tanzania that, among other features, shows the disputed boundary between Tanzania and Malawi to be in the middle of Lake Nyasa.The new map also shows boundaries of the new four regions and 19 districts created last year.

Mkuu, kumbuk vizuri jiografia yako ya primary tu inatosha. mpaka kwa ramani za tanzania na tanganyika siku zote zipo katikati ya ziwa, mbona unakuwa mbishi. au umechanganywa na hiyo habari kuwa ''among other features, shows the disputed boundary between Tanzania and Malawi to be in the middle of Lake Nyasa'' aliyeandika kuwa ...to be ... amedata kama wewe.
 
  • Inaonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi .
  • Mikoa mipya na wilaya mpya 19.
attachment.php

Mwamnyange, hii ndio tz. Tukiporwa hata cm 1 utatuona. Watz hatutaki ujinga wa kiccm tena.
 
mkuu unakumbuka kisiwa kinachogombaniwa Japan na China,vilevile kuna mpaka unagombewa kati ya Venezuela na nchi ya jirani,kinachonishangaza ni hatua kali zinazochukuliwa na viongozi wa nchi hizo hata kutishia vita,nakumbuka venezuela walisogeza jeshi mpakani,lakini hapa kwetu sidhani kama viongozi wapo serious kiasi hicho,mimi nachoona ni kucheka na kutabasamu na wanaotaka kuchukua ziwa letu
Bado hatujafikia hatua ya kusogezeana majeshi kwani Malawi na Tanzania ni majirani na ndugu na uhusiano wetu ni wa karne nyingi hata kabla ya mkoloni kutugawa na kutuchonganisha. Kwa hili la kuchukua "Dialogue option" nazipongeza nchi zote mbili, yaani Malawi na Tanzania. Yafaa mabeberu waliokuwa wamejipanga kutuuzia silaha walielewe hilo.
 
Watoe kopi kama million wampe balozi wa Tz inchini Malawi na pia wampe balozi wa Malawi nchini Tz.
Malawians make use of this new map you will be safe otherwise just lean on westerners who are far from where you are then you will know what it means provoking your own neighbour
 
mkuu unakumbuka kisiwa kinachogombaniwa Japan na China,vilevile kuna mpaka unagombewa kati ya Venezuela na nchi ya jirani,kinachonishangaza ni hatua kali zinazochukuliwa na viongozi wa nchi hizo hata kutishia vita,nakumbuka venezuela walisogeza jeshi mpakani,lakini hapa kwetu sidhani kama viongozi wapo serious kiasi hicho,mimi nachoona ni kucheka na kutabasamu na wanaotaka kuchukua ziwa letu

Mkuu, nilikuwa maeneo hayo wiki mbili zilizopita, usalama mpakani umeongezwa sana.
 
Naomba ufafanuzi, inaonekana kama mkoa wa Kagera haujapakana na ziwa ila kuna mpaka uliolizunguka ziwa victoria kutoka Kagera mpaka Mara, ni mkoa gani huo, pia huu mkoa mkuubwa sana kusini usiopakana na bahari ya Hindi ni upi?
 
New map ‘clears’ the TZ-Malawi border row

By Saumu Mwalimu | The Citizen Reporter

The government yesterday issued a new map of Tanzania that, among other features, shows the disputed boundary between Tanzania and Malawi to be in the middle of Lake Nyasa.

The new map also shows boundaries of the new four regions and 19 districts created last year.

According to the director of survey and mapping in the ministry of Land, Housing and Human Settlement Development, Dr Selasie Mayunga, the new map clears the “confusion” regarding the Tanzania-Malawi border on Lake Nyasa.

“In the new map, the boundary between Tanzania and Malawi is in the middle of lake Nyasa as it is shown in the old map,” said Dr Mayunga.

He urged institutions and individuals to contact the ministry for copies of the new map.

Last year, the government announced four new regions, namely Njombe, Geita, Simiyu and Katavi as well as 19 new districts.

The production of the new map comes at a time when Tanzania and its southern neighbour Malawi are exploring ways to end a border crisis after briefly putting aside the diplomatic option, with some Tanzanian officials declaring the country was ready to respond to any act of provocation.

Malawi claims it owns the whole of lake Nyasa on the basis of a 1890 treaty between former colonial powers Britain and Germany, which, it says, was later reaffirmed by then Organisation of Africa Unity (OAU) when the country gained its independence in the early 1960s.

But President Jakaya Kikwete said earlier this month that the Anglo-Germany Treaty that gave Malawi sole ownership of the whole lake was flawed and Tanzania has every reason to demand a review.

Yesterday, Dr Mayunga said the new map would also help in ending escalating land conflicts and the growing problem of poor land use that has put urban authorities in difficulties.

“We are currently facing a lot of land-use related problems in the country … like the issue of boundaries and construction in prohibited areas. We are optimistic that this new map will help in putting in check such problems”, he said, citing the Kinondoni municipality as topping the list in areas with enormous land conflicts and poor planning.

The ministry said yesterday it was hunting down, in collaboration with the police, people who have published Tanzania maps contrary to laws and regulations, adding that culprits would be taken to task.According to Dr Mayunga, it was only the lands ministry that has the legal authority to publish and distribute the map of Tanzania.

“Let it be known that those maps are fake and nobody should be using them. The law will be used against anyone publishing or distributing the unofficial map,” said Mr Mayunga.He said the ministries in collaboration with the police are currently focusing in removing the maps in circulation.

The most saddening thing about the practice, said Mr Mayunga, was the fact that public and private institutions countrywide were using the fake maps, unaware that it was illegal.

“A legally correct map is only the one published and issued by the ministry of Land, Housing and Human Settlement Development,” he asserted.

Land crises
According to Mayunga, most of the land conflicts are caused by dubious land surveyors who have been operating without adhering to the law.

“We now caution cartographers to do their work according to laid-down laws and ethics; anyone doing anything contrary to that will face the music,” he said.

The land ministry also announced yesterday it was planning to upgrade slums by improving social services and discourage the creation of new squatters.


Source: The Citizen

Stupid Dr. Mayunga and your team.......shame on you!..............mlikuwa wapi siku zote.........Nashangaa kuona nafasi nyeti ya serikali inashikiliwa na mtu passive kama Dr. Mayunga.........mrudisheni haraka Ardhi akafundishe........
 
hii inamaanisha JWTZ lina wajibu wa kulinda mipaka hii kwa gharama yoyote ile.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
embu watu tuwe na mtizamo mpana zaidi... Kwa tz kutoa ramani sio kwamba ndio imetatua tatizo la mpaka... Hili ni tatizo kati ya mataifa mawili tofauti huwezi kutumia hoja za upande mmoja tuu na kusema tayari u-meclear boundary dispute. Ujue kwamba wamalawi nao wanaweza kutoa ramani yao kuonyesha mpaka upo offshore kwetu.... Je utasema ume-clear dispute kwa sababu ramani yao mpya inaonyesha mpaka upo offshore.
Tunatakiwa kujenga hoja kama watu wanaotafakari agenda na sio tuu ushabiki kwa sababu wewe ni mtanzania au mmalawi.
Kwa mtizamo wangu ramani haina nafasi yoyote kwenye mtafaruku huu unless kama ingetolea na thirdparty organ like AU au UN ndio ingeleta uzito kwenye majadiliano na mtizamo. Watanzania tusiwe watu wa kukurupuka kudandia hoja bila kujipanga na kuchambua masuala kama Great Thinker. Inatakiwa tujadili ni jinsi gani kutaconvince wenzetu kwa nini mpaka uwe kati kati na sio offshore, na sio kung'ang'ania tuu kuwa toka zamani ipo hivyo. Ieleweke kuwa wenzetu wana mkataba wanaoutumia kujenga hoja na wana sababu za kuutumia na kuutambua mkataba huo... Logic sense hazifanyi kazi kwenye mazingira ambayo tayari yana mkataba unaotoa maelekezo.
Tusipobadilisha mtizamo wa kushughulia mambo kwa kuyatafari kwa kina, then kuna hatari ya kushindwa kwenye case nyingi kwenye sura ya kimataifa. Kwa hiyo ramani hii mpya haina nguvu yoyote kwenye mgogoro huu na majirani zetu.
 
Back
Top Bottom