Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Tunataka na ramani ya Tanganyika.
Na kweli wasituzingua watoe ya Tanganyika ndiyo walete ya muungano kama tutaihitaji....
Tunataka na ramani ya Tanganyika.
itakuwa we ni kilaza tu raman ya zamani na xaxa kuhusu mpaka wa malawi ipo tangu icho kipinid hapo kipya ni hyo mikoa mipya tu..
Hiyo ramani licha ya kuwaonyesha malawi kuwa msimamo wetu ni katikati ya ziwa, zaidi ni kuwajenga watanzania kisaikolojia kwamba wawe tayari kwa lolote mpaka ni katikati ya ziwa.!
Hiyo ramani licha ya kuwaonyesha malawi kuwa msimamo wetu ni katikati ya ziwa, zaidi ni kuwajenga watanzania kisaikolojia kwamba wawe tayari kwa lolote mpaka ni katikati ya ziwa.!
- Inaonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi .
- Mikoa mipya na wilaya mpya 19.
Hii ramani kachora mbongo mwiz wa kila kitu, kweli akili moja inaweza kufuta uhalisia wa ramani zilizoko duniani kote, hii mutaitambua nyinyi tu, na kwanini ichorwe leo? Huu ni wizi wa Kitanganyika .
Hii ramani kachora mbongo mwiz wa kila kitu, kweli akili moja inaweza kufuta uhalisia wa ramani zilizoko duniani kote, hii mutaitambua nyinyi tu, na kwanini ichorwe leo? Huu ni wizi wa Kitanganyika .
Nasubiri ya Tanganyika. Hope itatoka Soon!.
Tunataka na ramani ya Tanganyika.
Hata mimi nina hamu na ya Tanganyika maana uhuru umekaribia kupatikana kwa wenzetu
Na kweli wasituzingua watoe ya Tanganyika ndiyo walete ya muungano kama tutaihitaji....
Huu ni uandishi gani? Bora hata hayo maneno mawili ya mwisho lakini hilo la kwanza, mnaniudhi sana! Sasa hapo umekwepa nini? ungetumia "s" badala ya "x" ingekugharimu nini?
Baada ya ramani ya Tanganyika nawashauri Wapemba na wao wajiandae kudai mpaka wao na Unguja maana hakuna historia inayosema kulikuwa na Muungano kati ya Unguja na Pemba. Yani raha mpaka basi. Yupo wapi rafiki yangu Ismail Jussa?
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Hii serikali haifanyi kazi bila kusukumwa. Mikoa na Wilaya mpay zilitangazwa lini? Na muda wote huo walikuwa wanatumia ramani ipi? Mwaka jana kuna watu walikuwa wanatafuta ramani inayoonesha mikoa na wilaya zote (including hizo mpya) lakini hawakupata! Hata kwenye ofisi za serikali hakuna aliyekuwa nazo. Sasa bakora ya huyu Mama Banda wa Malawi ndiyo imewakumbusha wajibu wao! Mambo ya aibu kabisa.