Serikali yatoa ramani mpya ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Sep 23, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,575
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 48
  • [FONT=&amp]Inaonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi .
   [/FONT]
  • [FONT=&amp]Mikoa mipya na wilaya mpya 19.
   [/FONT]
  [FONT=&amp][​IMG][/FONT]
   

  Attached Files:

 2. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 709
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasubiri ya Tanganyika. Hope itatoka Soon!.
   
 3. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Tunataka na ramani ya Tanganyika.
   
 4. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  New map ‘clears’ the TZ-Malawi border row

  By Saumu Mwalimu | The Citizen Reporter

  The government yesterday issued a new map of Tanzania that, among other features, shows the disputed boundary between Tanzania and Malawi to be in the middle of Lake Nyasa.

  The new map also shows boundaries of the new four regions and 19 districts created last year.

  According to the director of survey and mapping in the ministry of Land, Housing and Human Settlement Development, Dr Selasie Mayunga, the new map clears the “confusion” regarding the Tanzania-Malawi border on Lake Nyasa.

  “In the new map, the boundary between Tanzania and Malawi is in the middle of lake Nyasa as it is shown in the old map,” said Dr Mayunga.

  He urged institutions and individuals to contact the ministry for copies of the new map.

  Last year, the government announced four new regions, namely Njombe, Geita, Simiyu and Katavi as well as 19 new districts.

  The production of the new map comes at a time when Tanzania and its southern neighbour Malawi are exploring ways to end a border crisis after briefly putting aside the diplomatic option, with some Tanzanian officials declaring the country was ready to respond to any act of provocation.

  Malawi claims it owns the whole of lake Nyasa on the basis of a 1890 treaty between former colonial powers Britain and Germany, which, it says, was later reaffirmed by then Organisation of Africa Unity (OAU) when the country gained its independence in the early 1960s.

  But President Jakaya Kikwete said earlier this month that the Anglo-Germany Treaty that gave Malawi sole ownership of the whole lake was flawed and Tanzania has every reason to demand a review.

  Yesterday, Dr Mayunga said the new map would also help in ending escalating land conflicts and the growing problem of poor land use that has put urban authorities in difficulties.

  “We are currently facing a lot of land-use related problems in the country … like the issue of boundaries and construction in prohibited areas. We are optimistic that this new map will help in putting in check such problems”, he said, citing the Kinondoni municipality as topping the list in areas with enormous land conflicts and poor planning.

  The ministry said yesterday it was hunting down, in collaboration with the police, people who have published Tanzania maps contrary to laws and regulations, adding that culprits would be taken to task.According to Dr Mayunga, it was only the lands ministry that has the legal authority to publish and distribute the map of Tanzania.

  “Let it be known that those maps are fake and nobody should be using them. The law will be used against anyone publishing or distributing the unofficial map,” said Mr Mayunga.He said the ministries in collaboration with the police are currently focusing in removing the maps in circulation.

  The most saddening thing about the practice, said Mr Mayunga, was the fact that public and private institutions countrywide were using the fake maps, unaware that it was illegal.

  “A legally correct map is only the one published and issued by the ministry of Land, Housing and Human Settlement Development,” he asserted.

  Land crises
  According to Mayunga, most of the land conflicts are caused by dubious land surveyors who have been operating without adhering to the law.

  “We now caution cartographers to do their work according to laid-down laws and ethics; anyone doing anything contrary to that will face the music,” he said.

  The land ministry also announced yesterday it was planning to upgrade slums by improving social services and discourage the creation of new squatters.


  Source: The Citizen
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 12,906
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 63
  hii nafikiri itawachanganya sana Malawi, maana watajua hatutanii kuhusu mpaka kupita katikati ya ziwa.!
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,625
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 38
  mkuu unakumbuka kisiwa kinachogombaniwa Japan na China,vilevile kuna mpaka unagombewa kati ya Venezuela na nchi ya jirani,kinachonishangaza ni hatua kali zinazochukuliwa na viongozi wa nchi hizo hata kutishia vita,nakumbuka venezuela walisogeza jeshi mpakani,lakini hapa kwetu sidhani kama viongozi wapo serious kiasi hicho,mimi nachoona ni kucheka na kutabasamu na wanaotaka kuchukua ziwa letu
   
 7. M

  Mandingo JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,098
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Ngoja mama Banda azipate hizi
  habari.
   
 8. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Unachekesha sana!! Hiyo mipaka ya ramani ilibidi ufanye michoro mwaka 1961 wakati Tanganyika inapata Uhuru au Mwaka 1964 wakati Tanzania inaundwa. Hapo ndiyo unaona tulivyolala na kukurupushwa usingizini. Nchi hii tumelala kweli kweli, hata mipaka yetu tulikuwa hatuijui. Mie ndiyo mara ya kwanza hat kusikia hiyo Anglo-German treaty ya mpaka wa Malawi na Tanzania. CCM kweli imetulaza usingizi.

  Hallo "tunatania sana" huwezi kuweka Nchi rehani kwa miaka 50. Big joke!! WE need change!! Big change in this country!
   
 9. FULLUMBU

  FULLUMBU JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  itakuwa we ni kilaza tu raman ya zamani na xaxa kuhusu mpaka wa malawi ipo tangu icho kipinid hapo kipya ni hyo mikoa mipya tu..
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,954
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Kwa mtaji wa usahihi wa ramani hii hapa juu, yale Majungu yoooooooooote na uchokozi wote wa MaWaziri wa Malawi akina Uledi pamoja Chiume sasa tunawakabidhi rasmi Makamnda Mwamnyange na Ndomba kutekeleza wajibu wao kuhakikishi ya kwamba HATA PUNJE LA MCHANGA WA TANZANIA haitobebwa hata na mchwa kwenda upande wa pili wa mpaka wa nchi hii.
   
 11. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Dar es Salaam. The government yesterday issued a new map of Tanzania that, among other features, shows the disputed boundary between Tanzania and Malawi to be in the middle of Lake Nyasa.The new map also shows boundaries of the new four regions and 19 districts created last year.
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 12,906
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 63
  Mkuu hili swala Tanzania haijakuruka,kumbuka mgogoro ulianza enzi za Banda na Mwl. Nyerere. Na wamewai kutoleana maneno makali juu ya hili ziwa. Hivyo kama ni uzembe basi Wamalawi ndio wazembe zaidi,maana kila unapofumuka huu mgogoro wao ndio waanzilishi wa kudai kuwa ziwa lote ni lao..naamina Tanzania tupo sahihi hatuwezi kudai kitu tulichonacho tayari.. Malawi ndio ilibidi waliweke hili swala sawa mara baada ya kupata uhuru wao...wenyewe ni wavamizi sisi tunachofanya ni kujilinda tu maana tunaamini mpaka ni katikati ya ziwa......kwani ramani uliyosomea wewe ilikuonyesha mpaka umepita wapi.??
   
 13. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 3,883
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu, we utakuwa kilaza, hakuna mtu ambaye hajafundishwa mipaka ya Tanganyika na Hiyo mikataba ya Anglo-German ilifundishwa katika maarifa ya Jamii. Sasa sijui uliisoma. Kutoa mipaka mipya ni wajibu wao, na nia ni kuongeza regions zilizoongezwa. Pia kutoa ramani sio swala la kitoto kwamba ni kitendo cha siku au mwaka. Pia sio kwamba raman ilikuwa haipo, ilikwepo na ilifundishwa mashuleni.
   
 14. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi tunasubiri migogoro ya mipaka ndiyo tutoe ramani mpya!!!!!!:frusty:Kwa mawazo yangu hii ramani ilipashwa kuwepo na kua wazi na sio kungoja migogoro.
   
 15. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 3,883
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Uzembe sio wetu Watanzania, hatuwezi kugombania ambacho tulikuwa nacho zamani. Uzembe ni wamalawi. Tuache kutoa malalamiko yasiyo na msingi juu ya Serikali yetu. Tatizo wananchi wanang'ata na kupuliza mpaka kwenye serikali yao. SERIKALI SIO YA CCM TU, NI MCHANGANYIKO WA WATU WENGI.
   
 16. H

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nina hamu na ya Tanganyika maana uhuru umekaribia kupatikana kwa wenzetu
   
 17. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 3,883
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo ramani hawajasema wametoa kwa ajili ya migogoro maana ramani tangu zamani tunazo na zinaonyesha part ya Ziwa ni Yetu hivyo uzembe ni kwa Wamalawi. Pia nia ya Raman mpya ni kuonyesha mabadiliko ya Regions zilizoongezwa.
   
 18. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 11,609
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 63
  BTW ramani za Tanzania tangu zamani sana ooops (tulipopata uhuru) mpaka upo katikati ya ziwa lakini ramani ambazo zinatumiwa na nchi zingine nje ya Tanzania kwa miaka kadhaa zinaonyesha mpaka upo ukingoni mwa ziwa. JK sioni kama anaweza kulishughulikia hili swala na kulimaliza anatakiwa kiongozi shujaa kama vile walivyokuwa kina Mkwawa et al sio huyu dhaifu.
   
 19. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,077
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Tanzania Tanzania nchi yenye mali nyingi watu wengi wa ulaya wanaililia sana!!! Ule wimbo niliuona wa kijinga sana, ila sasa naufahamu maana yake. Hii tabia ya kufanya kazi kwa kukurupuka tutakwama mahali.
   
 20. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 12,906
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 63
  Hiyo ramani licha ya kuwaonyesha malawi kuwa msimamo wetu ni katikati ya ziwa, zaidi ni kuwajenga watanzania kisaikolojia kwamba wawe tayari kwa lolote mpaka ni katikati ya ziwa.!
   
 21. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #21
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 21,366
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 48
  Na kweli wasituzingua watoe ya Tanganyika ndiyo walete ya muungano kama tutaihitaji....
   
 22. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #22
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,366
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 63
  Huu ni uandishi gani? Bora hata hayo maneno mawili ya mwisho lakini hilo la kwanza, mnaniudhi sana! Sasa hapo umekwepa nini? ungetumia "s" badala ya "x" ingekugharimu nini?
   
 23. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #23
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Idawa,
  Advocate Jusa, mimi, hata wewe msimamo wetu mmoja, we love our country which we call it "our motherland yaani Tanzania". Tofauti ni kuwa huyo aliyechapisha hiyo ramani ameandika hiyo ramani ni "Mpya"; yaani kulikuwapo "ya zamani" na sasa tumechapisha mpya. Swali letu ni kuwa hivi serikali sasa imechapisha ramani "mpya" baada ya Malawi kulalamika? Halafu hapo juu ulivyomjibu Advocate Jusa ndiyo kitu uliyotakiwa kuandika in the first place. In my opinion our Government have been sleeping; hii ya mipaka lazima tuwe macho siku zote.
   
 24. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #24
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,077
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Idawa,

  Kisaikolojia unajengwa na nchi kuanzia mkuu wa nchi hadi afisa wa jeshi wanakuwa na msimamo mmoja. Mfano China na Japan Kuanzia wakuu wa nchi wanamsimamo mmoja wa kutetea mipaka ya nchi yao kuhusiana na mgogoro wa Diayou Island. China imekuwa ikifanya zoezi la kijeshi wiki mbili sasa. Japan wameanza mazoezi na wamarekani jana kwenye maeneo ya karibu na kisiwa hicho. Hayo ndio maandalizi ya kisaikolojia. Sasa njoo nchini kwetu Tanzania Rais anaashiria kuwa ziwa sio letu. Waziri wake Sitta na Membe wanasema Ziwa Nyasa letu. Saikolojia gani inatoka hapo au ndio ule wimbo kigeu kigeu kigeu. Wazungu wanasema dysfunctional organisation. Hebu fafanua kidogo mkuu
   
 25. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #25
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ramani kachora mbongo mwiz wa kila kitu, kweli akili moja inaweza kufuta uhalisia wa ramani zilizoko duniani kote, hii mutaitambua nyinyi tu, na kwanini ichorwe leo? Huu ni wizi wa Kitanganyika .
   
 26. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #26
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ungeweka na link ya ulipoitoa maana hiyo picha ni ndogo sana haisomeki.
   
 27. C

  Concrete JF-Expert Member

  #27
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,609
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama Tanzania imetoa ramani hii kwa ajili ya kuzima mgogoro na Malawi basi utakuwa ni utoto mkubwa sana.

  Ni sawa na kuichakachua saa yako ili ionyeshe muda unaoutaka mwenyewe.

  Kila nchi inaweza kufanya hivyo, hata Malawi ramani yao inaonyesha Ziwa lote liko upande wao.

  Tutafute facts zenye nguvu ili tuwashinde kwa hoja na sio kujichapishia ramani wenyewe halafu kujitia moyo.
   
 28. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #28
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,954
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ramani hiyo kuwa ya kweli au kutokua ya kweli hilo unalijua wewe na roho yako huko mafichoni.

  Lakini napenda nikushtue hadi hapa ya kwamba kama ulikua hujui kung'amua mambo mapema basi sasa ukae ukijua ya kwamba msimamo RASMI NDIO HUO tumeshautangaza hadharani ili kila mbaye hakua na taarifa hizo sasa apate kuzitambua na kuziheshimu bila kulazimika kusukumwa kufanya hivo.

  With that simple map you are seeing up there, what it all potend to the Malawians and any other person out there, loud and clear, is that as a country
  Tanzania has OFFICIALLY MARKED HER RED-LINES beyond which no bothersome a cocroach or mosquito shall be spared an inch.

  If you don't believe this basi upeo wako unamatatizo mkuu.


   
 29. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #29
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 12,906
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 63
  kwani sisi tunaitambua ya kwenu.??
   
 30. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #30
  Sep 23, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Baada ya ramani ya Tanganyika nawashauri Wapemba na wao wajiandae kudai mpaka wao na Unguja maana hakuna historia inayosema kulikuwa na Muungano kati ya Unguja na Pemba. Yani raha mpaka basi. Yupo wapi rafiki yangu Ismail Jussa?

  TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

  [email protected]
   

Share This Page