Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Hawa Mwananchi waombee Dr. Slaa ashinde; uhuru wao kwenye habari hautadumu hata mwaka mmoja.
JK amevipa vyombo vya uhabari uhuru mkubwa sana na inabidi walitambue hilo.
Acha umbumbumbu, JK alivipa vyombo vya habari uhuru upi wakati anavitishia kuvifungia? Vyombo vya habari vilimfagilia sana JK ndio maana alivipa huo unaouita uhuru! Sasa hivi upepo umebadilika anaonesha true colour!