Serikali yatimiza ahadi ya msiba wa Kanumba! Yatoa TZS 10M

Ericus Kimasha

JF-Expert Member
Oct 27, 2006
488
470
attachment.php
 
Attachments

  • Serikali-Kanumba.jpg
    Serikali-Kanumba.jpg
    62.4 KB · Views: 750
dah hivi Michael Jackson alipofariki serikali ya Obama ilitoa fungu maana duh , nilipata tetesi kuwa serikali iligharamia mazishi ya kanumba ambapo ni shs 10/=M kwahiyo hii ni phase 2 yani jumla ni 20/=M kwa ajili ya kanumba .Our government is poor because it is misappropriating it's resources kwa wakimpa mamaye kanumba ndo nn sasa sh...t
 
Safi sana ccm mmetimiza ahadi yenu, Ilikuwepo kwenye ilani za chama hiyo!
 
Izi pesa zimetoka katika BAJETI ipi??na matumizi yake ya awali yatakuwa replaced namna gani? kwanini zisingenunua hata darubini za kupimia marelia kule MAJITA MAKOJO-MUSOMA kuokoa maisha ya walio hai??kuna wakati natamani jazba za wazenji ingawa si nzuri.
 
Majuzi Nape alikuwa bk kwenye msiba wasujaa wetu,sijui siri+kari ilitoa kiasi gani?

Nape ali u beep msiba ule wa "Baba yake mzazi". Wala hajasubiri mazishi, akaenda zake kucheza golf. WW unazungumzia sirikali imetoa ngapi!!!!!!!!!!!
 
dah hivi Michael Jackson alipofariki serikali ya Obama ilitoa fungu maana duh , nilipata tetesi kuwa serikali iligharamia mazishi ya kanumba ambapo ni shs 10/=M kwahiyo hii ni phase 2 yani jumla ni 20/=M kwa ajili ya kanumba .Our government is poor because it is misappropriating it's resources kwa wakimpa mamaye kanumba ndo nn sasa sh...t

Kwani Obama ni M.K.W.E.R.E au amesoma alafu hakuelimika????wenzetu wanaangalia vitu vyenye tija,upuuzi huo umewahi happen in Tz tu tena awamu hii ya nne tu,mara aitwe Diamond apewe 2m ya pasaka mara 10m ya mazishi ya Kanumba,mara 10m ya pole kwa familia ya Kanumba ni watoto wangapi wana suffer na wazazi wao kujitokeza kwenye ma tv kwa kukosa laki 2 tu za matibabu?
 
Wanaosema ccm haitekelezi ahadi waje hapa sasa.
Wako wapi?
Baada ya miaka miwili tunatekeleza tena nyingine na hatimaye tutamaliza zote hata roma haikujengwa kwa siku moja.
 
Kweli magamba wameamua kuficha Mijipesa kwa kumpa Mamaye kanumba vijisenti ili watanzania muwe na Imani na Serikali yetu pia kujionesha kuwa wanajali.
Lakini ni kwa vipi serikali imeshindwa kutumia pesa hiyo kwa kuendeleza vituo vya Afya.

-(a big liar should have a good Memory.)
 
Utashangaa Tanzania yetu! Kweli msiba uliumiza wengi, nami nikiwemo ila jana nilishangaa nilipoona Kiongozi wa serikali kwa tabasamu kubwa akitoa mil.10 CASH! Na akamuhakikishia kwamba ukitaka ulinzi, serikali itamlinda sababu serikali inalinda heshima ya kutotoa cheque feki ndo sababu za kupeleka cash na ulinzi wake (sijui Polisi au JKT au JWTZ au Mgambo wa Jiji)!
Nikafikiria ndugu zetu waliopata mafuriko wakawekwa kwenye mahema na sasa wanalalamika kwa uchakavu, vyoo kufurika, maji kukosekana na msosi pia si wa uhakika.
Ndiyo, Kanumba alikuwa muhimu na labda aliitangaza Tanzania zaidi ya Maige (Bw. Twiga) na Membe (eti rais mtarajiwa), lakini ingefanywa hata kwa siri katika kipindi hiki kwani walengwa ni familia ya Kanumba na si kwa matangazo mengi na kudai kwamba wametimiza ahadi! Na zile ahadi je, za MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA zimetimia? Achana na hao wasio na maisha bora wacheze ngoma mpya na bora zaidi ya kiduku inayoitwa KILIMO KWANZA na "make sure" wanaicheza kwa Nguvu Zaidi, Kasi Zaidi na Hari Zaidi bila kuuliza aliyeitunga kama kahudhuria au amemtuma mjumbe wa kuja kuwatunza!

R.I.P Kanumba
 
Hivi hiiserikali imelogwaaaa ???? inaweza ikawa nizaidi yakulogwa .

mbona sijasikia wale wanjeshi walio pigana vita ya idiamini walipo fariki mbona familia yao haijapewa hela mingi namna hii?
huu ni ubaguzi . ni watuwangapi maarufu ambao wamejitolea maisha yao kwenye taifahili na familia yao haikupewa hicho kiasi chafetha.

Serikali ya ccm ni yakishamba sijawahi pata ona . niwapi ulishawahi sikia ela zinatoka serikalini burungutu kama aliloshika huyo waziri? ni ya JK tu. Sasa hawaoni niabu wana mtafutia huyo mama mikasa na familia yake ?
fikiri kama watu wataamua kumvamia .
Nasema tena niserikali ya kishamba wanahimiza cheki na hila za mitandao lakini wao wana tembea na maburungutu

niushamba na ubaguzi wahali ya juu . watu wamepigwa na mambomu na hajalipwa mpaka leo . kuna watu wanahitaji matibabu na hawasaidiwi kuna wanafunzi wana kaachini hapo kipawa wala sinje ya Dar lakini hawaoni hilo

ABX2.jpg
 
View attachment 55034

How do you find this excerpt?
Read throughly every sentence highlightened in RED!

..........Tukio hili linaleta hisia za ubaguzi wa Taasisi za dola na chama katika kutoa uzito kwenye majanga, matatizo na misiba ya watu wa Taifa hili. .........Hili linatuongezea huzuni na kutuongoza kuamini kuwa misiba ya watu wa maeneo nje na Dar es Salaam haigusi hisia za Rais hata kama ni ya Watu waliotoa mchango mkubwa kwa Taifa hili. ........

Na mwisho tunamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, yeye kama Taasisi
awe Rais wa Watanzania wote; wa Dar es Salaam na Mikoani.
 
izi pesa zimetoka katika bajeti ipi??na matumizi yake ya awali yatakuwa replaced namna gani? Kwanini zisingenunua hata darubini za kupimia marelia kule majita makojo-musoma kuokoa maisha ya walio hai??kuna wakati natamani jazba za wazenji ingawa si nzuri.

...kifo (maafa)
 
Back
Top Bottom