Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa wanajaribu kuwatisha wanyonge, mi naamini haya yote lazima yatokee katika kuelekea ukombozi wa kweli. Tena mwaka huu balaa wanalo, mpaka UDSM watu wamekosa mikopo?
kwani udsm ni nani? Ongelea watoto wa maskin wote waliokosa mikopo kwenye vyuo vyote au ndo selfishness zenu hampendi wengine wasome kisa hawapo hapo udsm..kama msomi tetea maslahi ya taifa sio kundi flani
Yani hii bodi, mi na mipango mwanangu asiombe mkopo kabisa i hav to work hard kadri niwezavo kuliko kutegemea hii bodi.
tuache unafiki udsm ni chuo kikongwe. nacho kikipata adha hii manake wao wakiwasha moto sio sawa na udom. huwez linganisha simba na maji maji ingawa zote zinaweza kufungwa. just wait tar 25.10 haifiki.
kwani udsm ni nani? Ongelea watoto wa maskin wote waliokosa mikopo kwenye vyuo vyote au ndo selfishness zenu hampendi wengine wasome kisa hawapo hapo udsm..kama msomi tetea maslahi ya taifa sio kundi flani
mvivu kufikiri eti wakiwasha moto udsm ni lazima kiwe ndio mtetezi wa elimu Tanzania so ukisema chuo flani hovyo wakati 2na wasomi wazalendo kutoka udsm 2takiona udsm ndo hovyo coz kinatakiwa kiplay role kuboresha elimu ya Tanzania so wana udsm mnatakiwa msikae kuponda wakati hao ni watoto wenu nyie ndo mtaonekana wapumbavu
unataka kusema hujui udsm ni nani? Mara ngapi Ifm, Mzumbe, Ruco na Tecu wamekosa mikopo na wamekaa kimya? Pale udsm hata bumu likichelewa ni utata, sikuwa na lengo la kudharau wengine ila ukweli lazima usemwe.
hapa wanajaribu kuwatisha wanyonge, mi naamini haya yote lazima yatokee katika kuelekea ukombozi wa kweli. Tena mwaka huu balaa wanalo, mpaka UDSM watu wamekosa mikopo?