Serikali yatangaza Ajira mpya za Walimu 2014

Brother James

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
233
172
Naona neema kwa walimu zaanza kuonekana mwaka huu 2014, hizi ni ajira kwa ajili ya waliohitimu Daraja IIIA, Stashahada za Ualimu na Shahada za Ualimu.

SOURCE: GAZETI LA UHURU

Serikali yatoa nafasi za walimu zilizokuwa zikisubiliwa kwa muda mrefu na wahitimu waliomaliza vyuo mbalimbali kwa mwaka 2014, Akiongoea na waandishi wa habari Mh Jenista Mhagama amesema jumla ya walimu 26750 wamepangwa sehemu mbalimbali nchini,wengi wakienda katika shule mpya zilizojengwa na serikali na kuonya kwamba yeyote atakae toroka kituoni na kuchukua pesa za serikali atachukuliwa hatua kali za kisheria. CHANZO MAELEZO LEO SAA TATU NA NUSU 09:30 (OFISI ZA WIZARA YA ELIMU)
 
kaka shaha ndo kitu gani? Na muache kurushana roho mishahara ambayo mngelipwa inalipa wabunge wa katiba subirn hadi mwakani tukiwa na katiba mpya
 
Wabongo kwa kupenda vya dezo hamjambo, mtu kakutafutia habari, kakupa source bado unamtuma akakuletee maelezo mengine zaidi, huu kweli ungwana jamani?? Nyamajiva kaa kisomi bana usipende kurahisishiwa kiasi hicho, ukiona hii habari ina manufaa kwako, kalitafute gazeti la UHURU ili upate maelezo zaidi, tena uzuri wake gazeti lenyewe ni la leo leo lipo mtaani
Lete hard copy yenye maelezo hayo co habari kwa ufupi fupi! LEO GAZETI LA UHURU LITAUZIKA MITAANI
 
MTONILIST Hii habari ingekuwa si ya ukweli usingeiona hii post hasilani, Moderators wangekuwa wamekwisha itoa kabla hata ya ww hujaisoma, suala la msingi tafuta hiyo habari katika hilo gazeti then wajuze wana-JF kuwa habari iliyopo kwenye hilo gazeti ni ya ukweli ama si ya ukweli, utapingaje kilichoandikwa katika media bila kuwa na vithibitisho vya pingamizi???
kaka shaha ndo kitu gani? Na muache kurushana roho mishahara ambayo mngelipwa inalipa wabunge wa katiba subirn hadi mwakani tukiwa na katiba mpya
 
Akiongea na waandishi wa habari leo hii saa 3.30 ya tarehe 27/2/2014 mh. Jenista Mhagama amesema kati ya ajira hizo jumla ya walimu 26,750 wamepangwa katika shule mpya (shule za kata) zilizojengwa na serikali na kuonya kwamba yeyote atakae toroka kituoni na kuchukua pesa za serikali atachukuliwa hatua kali za kisheria.

SOURCE: MAELEZO Ofisi ya Naibu Waziri wa Elimu, leo hii saa 3.30 Asubuhi
 
haya asante kwa taarifa,sasa c wamuvuzishe hayo majina eboh!
 
mg35-w480-h58016.jpg

Lete hard copy yenye maelezo hayo co habari kwa ufupi fupi! LEO GAZETI LA UHURU LITAUZIKA MITAANI
 
Toa huu upuuzi mode hamna ukweli wowote juu ya hiyo habari

kuna ukweli wowote jamani? Mbona mnatukanganya?

Gazeti la Uhuru la leo umeliona? Mods wako makini lazima wangefuta huu uzi kama hauna ukweli. Nadhani muanzisha thread ana uhakika. Hafu kuna mdau kaweka hadi picha ya front page ya gazeti hapo juu. Sijui uthibitisho gani tena unahitajika hapa...
 
Back
Top Bottom