Serikali yataka kumaliza tofauti za kisiasa Arusha kwa mazungumzo

No retreat, No surrender, No mazungumzo.....

Hivi Chadema kwa wingi wetu na kwa umoja wetu tumeshindwa na sisi kumwaga damu ya polisi hata mmoja tu? hata huyo mkurugenzi wa jiji la arusha au mwanaye au mkewe au shemeji hata mmoja? tunatakiwa na sisi kuzungumza lugha itakayo waumiza, lugha watakayo elewa kirahisi!! dawa ya moto ni moto!!! tuache woga, tuwaambie polisi kuwa tutawafuata huko huko barracks na kama tutashindwa tutaenda shuleni wanakosoma watoto wao!!! kulipiza kisasi ni lazima, naandaa manati yangu, subirini tu
 
...ndugu yangu,sio swala la kukurupuka.nimekuwa napitia mitandao yote ya bongo soijaona habari hii.nilikuwa nataka niipate kwa undani wake zaidi kama kulikuwa na source nyingine other than radio na TV,ambayo,no matter where i am,sina access nazo.kwani hujui kuwa kuna hata sehemu nyingine za bongo radio haiipatikani na TV ndio mswano kabisa?napenda kufuatilia habari kwa undani wake.haina haja ya kutaka kunikata kichwa kwa sababu nilitaka source wala sina haja ya kudanganya kuhusu nilpo....

mkuu.... point taken .... go through this thread thoroughly... and you can come back to me if need any other info regarding this saga..... i respect your presence here and next time when you log into this forum please check and verify the thread status first kabla hujacharuka....
 
Hivi Chadema kwa wingi wetu na kwa umoja wetu tumeshindwa na sisi kumwaga damu ya polisi hata mmoja tu? hata huyo mkurugenzi wa jiji la arusha au mwanaye au mkewe au shemeji hata mmoja? tunatakiwa na sisi kuzungumza lugha itakayo waumiza, lugha watakayo elewa kirahisi!! dawa ya moto ni moto!!! tuache woga, tuwaambie polisi kuwa tutawafuata huko huko barracks na kama tutashindwa tutaenda shuleni wanakosoma watoto wao!!! kulipiza kisasi ni lazima, naandaa manati yangu, subirini tu
Chonde chonde ndugu zangu tusifike huko maana watoto wao au wake zao na famili zao hawakuwatuma, tutakuwa tumefanya kosa kubwa kuliko wao. Cha msingi ni kuwa sisi CDM tumepato credit kubwa sana ndani na nje ya nchi tusiiharibu kwa mawazo haya. Haki haiji kwa kufanya makosa bali kwa kuidai na ndo wana cdm wamefanya, Mungu atutie nguvu kuendelea na mapambano yasiyo na makosa.
 
Watz tunamatatizo makubwa. Bado tunatumikishwa hadi kuua wenzetu eti kwa kuwa mkuu kasema. Naogopa maana siku tutasikia mtu kanywa damu ya mwenzetu. Mbona tunazungumzia walio kufa na kujeruhuwa na mazungumzo, wakati hao walio fanya unyama wakiwa huru.

Cha ajabu zaidi ni pale mbapo serikali unaona ni kitu cha kawaida. Kama nchi hii imewashinda watuachie. Ni bora tuishi bila kiongizi kama swala wa mikumi kuliko kuwa na kiongozi anaye changau yupi mpige risasi na yupi mwache.
 
Hay ingieni tena mitaani mkakiome "cha mtema kuni kilicho mtowa kanga manyoya".
 
Nahodha na IGP Mwema LAZIMA WAJIUZULU!!!!
Watanzania hatuwezi kukubaliana na huu ujinga. CCM ni serikali ya KIDIKTETA LAZIMA ING'OLEWE MADARAKANI KWA KATIBA MPYA TUNAYOITAKA.

TUNMTAKA NAHODHA AMSHAURI WAZIRI WAKE MKUU PINDA NA WAZIRI WA TAMISEMI WAKAE NA KUTOA TAMKO LA KUYAFUTA MATOKEO YA UMEYA YALIYOMWEKA GAUDENCE LYIMO WA CCM KINYEMELA ILI UCHAGUZI WA MEYA JIJI LA ARUSHA UITISHWE UPYA HARAKA.
 
IGP Mwema huo ushemeji wako na mkwere usikufanye kuamrisha amrisha watu wauwawe!!! Embu fanya kazi yako ya kuakikisha watu wanalindwa na sio kuamrisha watu wapigwe!!!!
 
Ndugu wana CDM naomba sana kuwatahadharisha kwamba msikubali kuanza mazungumzo mpaka tume huru iundwe kuchunguza sababu hasa ya mauaji ya Arusha kwani propaganda za wana CCM zitaendelea kuwahusisha na machafuko hayo wakati nyie siyo chanzo. Shart lingine miji yote ambayo uchaguzi wa serikali za mitaa ulichakachuliwa, urudiwe ili haki itendeke. Nawapongeza kwa hatua yenu ya Arusha, natoa pole kwa Watanzania wote na wahanga wa mauaji ya Arusha. Naamini kila hatua mabayo mmekua mkichukua kudai haki ni sahihi na imekuwa ikilipa. Naamini mnawakilisha maslahi ya walio wengi. mungu ibariki CDM mungu ibariki Tanzania. Nyota mpya ya matumaini imezaliwa tanzania.
 
Mazungumzo gani wanayoyataka wakati ndio wao wamechakachua wakidhani dola itawasaidia. Hana lolote yeye na Mwema wake wanatakiwa kujiuzulu wapishe uchunguzi wa Ocampo ama JK aunde tume ya kishkaji

Uvunjifu wa amani kwa visingio vya kuLinda amani sasa mwisho! kama vipi sasa tupate SILAHA KILA MTU ATAFUTE AMANI NYAKE MWENYEWE...
 
Asante Mh. Shamsi Vuai Nahodha, keep the same walk. Ni wakti wa kuitazama TANZANIA huu u CCM, u CDM, u TLP..... hautusaidii sana. Janga la Arusha ni la kwetu sote. Hebu tuumie kwanza na watu wetu ndo baadae tuje na hivyo vyama. Tanzania inajengwa na sisi sote. MALIZENI TOFAUTI SASA.
 
Hapa hakuna mazungunzo kwani vurugu zimeletwa na nani? wanataka mazungumzo baada ya kuua watu wasio na hatia, Tunachotaka ni utekelezaji wa madai ya wananchi wala hakuna haja ya mazungunzo marefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom