Serikali yashindwa kulipa wafanyakazi, yapunguza maslahi kimyakimya

Komeni kulalamika kwani wakati wa uchaguzi mwaka jana mlimpigia kura nani?

Wajameni mbona nyie mko hivyo kwani hamjui kuwa kura zetu NEC na TISS walichakachua. Bila NEC na TISS M.k.w.e.r.e asingekuwa raisi hivi leo. Mgomvi wenu siyo sisi wafanyakazi bali hao NEC na TISS
 
Umeishiwa hoja lala ujambejambe kuliko kuleta ushuzi wako humu hakuna kitu kamna hicho posho zote zimelipwa na waliopanda mishahara wamelipwa hakuna aliyeshushwa mshahara we kimavi tu unawanga humu kenge weeeee
Mbwa wee!Hujui ulisemalo.Hayawani Mkubwa wee!Mimi kwa taarifa yako nafanya kazi WIZARA fulani nikiwa kama officer grd 2,hayo aliyoyasema huyo jamaa ni UKWELI mtupu,unachobishia ni nini?Au unatafuta bwana humu JF?Usilete ushabiki wa kisiasa hapa wakati watanzania wanataabika.Idiot...!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Umeishiwa hoja lala ujambejambe kuliko kuleta ushuzi wako humu hakuna kitu kamna hicho posho zote zimelipwa na waliopanda mishahara wamelipwa hakuna aliyeshushwa mshahara we kimavi tu unawanga humu kenge weeeee
Haya msemaji kiongozi wa Wizara ya Mishahara na Maslahi ya watumishi wa idara na taasisi zote za Serikali tumekusikia tumekuelewa na tunasonga mbele.
 
Tafadhali naomba a proper link pa kupata hz taarifa hasa hiyo standing order.Binafsi nimeajiriwa na moja ya halmashauri na wakati wote nikiulizia standing order kwa wakuu wangu wa idara hunipa jibu ati na wao hawana.Ninadai vitu vingi lakini nakosa supporting doc ya kuwabana.MWENYE UKWELI ANISAIDIE
 
mmmmhh! mleta thread umetoroka mirembe au?!yani umshushe mtu mwenye mshahara wa laki nne na kitu mpaka laki 2. Tena usawa huu wa sukari buku 2 kwa kilo!
Itakua wanataka vita sasa, haiwezekani wewe usitudanganye!
ndugu yangu mimi ni mtumishi wa serikali kada mojawapo ya afya anachozunza mtoa mada ni sahihi kabisa, mimi mwenyewe nimeshtukia ''take home'' yangu imekatwa kwa tshs laki mbili; vuguvugu la madai lishaanza maeneo mbalimbali, lakini halina nguvu kwa sababu kada ya afya haina chama ambacho ni strong, badala yake wana lazimishwa kuingia chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGU) chama ambacho hakina dira wala mwelekeo kama kilivyo chama fulani cha siasa hapa nchini
 
Umeishiwa hoja lala ujambejambe kuliko kuleta ushuzi wako humu hakuna kitu kamna hicho posho zote zimelipwa na waliopanda mishahara wamelipwa hakuna aliyeshushwa mshahara we kimavi tu unawanga humu kenge weeeee
wewe Ghasia?? kama sie basi shoga yake?,..mdomo wako mchafu mno
 
Wapunguze idadi ya Mawaziri, Makatibu wakuu, Wabunge, Wakuu wa mikoa na Wilaya, Mabalozi na kisha kupunguza mishahara na marupurupu yao labda wataweza kupunguza ukwasi mkubwa uliokuwepo katika hi Serikali taahira, lakini kwa sababu ni Serikali ya kifisadi watakaoanza kuumizwa na hali hi ni watendaji wa ngazi za chini.
 
Katika watu waliochangia kuzorota kwa taifa hili kwa asilimia kubwa na ambao wanasababisha serikali ionekane hovyo zaidi ni watumishi wa Umma ambao miongoni mwao zaidi ya nusu ni fake! hawa qualify na hukuwengi wao wakiwa na vyeti vya ndugu na majirani!

Hawafai hata kulipwa mishara maana sijui wanachofanya, Mkapa alileta mpango wa OPRASS waliogopa sana na kumuomba Kikwete aondoe huo mpango maana walijua wengi wao wamefanya ofisi za serikali kama kijiwe cha kuangalia internet na kunywa kahawa bila tija.

Ndio kikwete aliwaijia juu na wakanywea hawana confidence wengi ni uzembe na ngono ofisi na kusinzia tu!



I agree with u kaka. hawa watu kutwa kuchati kwanya face book, kucheza game kwenye computer na kusoma magazeti. hawana kazi kabisa. Halafu wanalalamika eti safati zimepunguzwa. I hate working serikalini coz ni kulemaza tu akili. Muda mwingi wanawaza safari ili wajipatie perdiem, halafu hakuna wanachosaidia serikali. Ni wachache sana vichwa vya serilkali, walio wengi mbumbumbu tu. Wafanye kazi ndio wapate hela. I have an example in one of the ofice ya serikali. Kijana analonga na boss wake ampangie safari ili amalizie nyumba yake. bu shit!
 
Chama chajenga nchi, na uchumi unaopaa kwa asilimia zaidi ya 7 kwa mwaka sasa tunauona. Si hayo tu, kwani mmesahau hata mishahara ya mwezi huu imekatwakatwa haijatimia. Bora halmashauri ya kilosa wametoa taarifa rasmi ya kuwajulisha watumishi wao kuhusu hali hiyo. Lakini wakuu wa nchi wanasema hazina ina stock ya kutosha! Kwa matumizi ya nani?
 
Umeishiwa hoja lala ujambejambe kuliko kuleta ushuzi wako humu hakuna kitu kamna hicho posho zote zimelipwa na waliopanda mishahara wamelipwa hakuna aliyeshushwa mshahara we kimavi tu unawanga humu kenge weeeee

Unaonekana unatafuta ushahidi kinamna, lakini ukweli ndio huo, mishahara ya mwezi huu ya watumishi wa serikali (sina uhakika kama ni yote) imeparaganyishwa aidha kusudi au kwa bahati mbaya lakini at the end total payroll zimeshuka.Ahadi imetolewa kwamba itarekebishwa, hebu subirini mwezi ujao tuone
 
Jamani tumethubutu, tumeweza na tunazidi kusonga, maisha bora kwa kila mtanzania na uchumi unao paa!!
 
Mpaka mida hii ninapoandika, baadhi ya watumishi wa serikali hawajalipwa mishahara yao.Kazi ipo ndugu zanguni!
 
Kuna jamaa yangu mmoja anasema kwenye mshahara wake wa mwezi huu kunaupungufu wa sh46,000/-
 
Bora hata hao waliokatwa lakini kidogo wamekipata!! Huku wilaya ya Ludewa bado hatujalamba hata senti na tangazo lililopo ofisi ya mkurugenzi linatuambia hadi kuanzia tar 10 ndo watajua hatma ya hiyo mishahara...
 
Hapa siyo ccm wala chadema ni ulafi tu..lini umesikia lema au zito kugoma kuchukua mshahara wa ubunge kwasababu ni mnono mno?wake up tanzanians
Tatizo lako unataka watu waunge mkono mambo ya kijinga na kupinga yale ya maana
 
Back
Top Bottom