trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Shida ni kwamba hata tunapochagua mageuzi kwenye uchaguzi,bado tunashindwa. Tunalazimishwa tu kuamini kuwa tuliyemchagua kashindwa.Watanzania tulieni mliwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili! Shida mzazitaka wenyewe! Mnapiga kura kama walevi, halafu mnalalama kama vichaa!