Serikali yapokea pesa za ujenzi wa nyumba za Madaktari kutoka Global Fund

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Mgomo wa Madaktari umefunua mengi.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Serikali imepata pesa kutoka Global Fund kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za Madaktari, haikusemwa kama ni msaada au mkopo. Tukumbuke kuwa moja ya madai ya Madaktari ni kukosa nyumba na posho za nyumba kuwa ndogo zisizotosha kulipia pango.
Hivi kwanini Watawala waliuza nyumba za Serikali?
Hawakujua kuwa ni kutengeneza matatizo kama haya ya Wafanyakazi wake kukosa nyumba?
 
Back
Top Bottom