Serikali yapiga stop ujenzi wa shule za kata

KANDA MBILI

Member
Jul 9, 2012
57
54
Serikali imesitisha ujenzi wa shule za sekondari za kata, kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha elimu kinachotolewa katika shule hizo.

Tamko hilo lilitolewa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, katika mkutano wa Taasisi ya Hassan Majaar Trust, iliyokuwa ikikabidhiwa Sh. milioni 26 zilizotokana na michango ya watumiaji wa simu za mikononi, Dar es Salaam jana. Dk. Kawambwa alisema Serikali imesitisha mpango huo ili iweze kupata nafasi ya kurekebisha upungufu uliopo katika shule za sekondari za kata zilizopo.

Dk. Kawambwa alitaja upungufu huo kuwa ni pamoja na kuziwekea shule hizo maabara, madawati ya kutosha, walimu mahiri na kuboresha mazingira ya kazi, zikiwamo nyumba za walimu.

"Tanzania bado haijafikia kiwango cha utoaji elimu bora katika shule zetu tulizozijenga kila kata, kutokana na changamoto nyingi zinazotukabili sasa.

"Tayari Serikali ya awamu ya nne imeliona tatizo hili na imeanza mikakati ya kukabiliana nazo kuanzia sasa katika bajeti ya mwaka 2012/2013 na hata utawala ujao.

"Tunakiri walimu wanafanya kazi katika mazingira magumu ambayo yanawafanya kushindwa kutoa elimu kama inavyostahili na ndiyo maana tumeamua kushughulikia matatizo yao, pia katika kupata walimu mahiri tumeongeza usajili katika vyuo vyetu wanafunzi walio na uwezo mzuri."

"Tunaomba taasisi, mashirika na wadau wengine kufanya mawasiliano ya karibu na Serikali ili kuendelea kuchangia katika sekta ya elimu na ndiyo ya sera ya Serikali." alisema.

Hata hivyo, alisema katika bajeti yake ya mwaka 2012/2013, imejikita katika kufanya uboreshaji wa shule zote nchini, kufanya ukaguzi na kuboresha mazingira ya walimu.

SOURCE:MTANZANIA
 
It is about time. Hata hivo kusitisha kwao hakutoi matumaini yoyote kuwa hizo shule zitaboreshwa katika maeneo twaja na muhimu. Inasikitisha sana na ni aibu kiwango cha elimu ya msingi ni mbovu mno kuweza jenga kiwango bora cha elimu yoyote inayo fuata baada ya hapo. Iwe ni secondary ama higher learning institutions. Kuweza fanikisha hayo mabadiliko labda aje kiongoze wa usimamizi overall mwenye machungu, malengo, uzoefu na ujuzi wa nini kinastahili, kinatakiwa na namna gani ya kuweza kufanikisha iwe kwa urahisi or by crook and nail!
 
Ni uamuzi muafaka. Sasa ijikite katika kuimarisha ubora. Zoezi hili liendane na kujenga maabara, mabweni hususan Kwa wasichana, nyumba za walimu bila kusahau kuandaa walimu kutosha walio na maslahi bora.
 
Plan ya ujenzi wa shule hizo ni ya serikali ya CCM,
Kutoka mwanzo walijua idadi kamili ya shule,
na idadi ya walimu wanaohitajika,
naamini kulikuw na mipango thabiti,
ya kuandaa walimu,

Vipi leo hii,
waziri anasema serikali imeliona hili?
Ina maanisha,
Hawakuliona katika mipango?
Yalikuwa matamko ya kisiasa?

95% ya gharama ya ujenzi wa shule hizi,
imebebwa na wanchi,
kuna walio beba 100%

Sasa nini maana ya,
kusitisha ujenzi wa shule?

Serikali inajikanyaga,
inajichanganya,
na ina BOA.
 
It is about time. Hata hivo kusitisha kwao hakutoi matumaini yoyote kuwa hizo shule zitaboreshwa katika maeneo twaja na muhimu. Inasikitisha sana na ni aibu kiwango cha elimu ya msingi ni mbovu mno kuweza jenga kiwango bora cha elimu yoyote inayo fuata baada ya hapo. Iwe ni secondary ama higher learning institutions. Kuweza fanikisha hayo mabadiliko labda aje kiongoze wa usimamizi overall mwenye machungu, malengo, uzoefu na ujuzi wa nini kinastahili, kinatakiwa na namna gani ya kuweza kufanikisha iwe kwa urahisi or by crook and nail!

Elimu bora ni adui namba moja wa CCM kuwa madarakani. Haitoshi kusema umesimamisha ujenzi wa shule za kata bila ya kusema sasa utafanya nini kufidia ongezeko la watoto wanaohitaji kujiunga na sekondari nchini. Maana ya maamuzi haya ni kuwaacha vijana wanapomaliza darasa la saba wawe wazururaji, vibaka waliokata tamaa ya maisha ili iwe rahisi kuwahonga kanga na kofia wakati wa uchaguzi. Ukiwapatia elimu wakati huna mazingira ya uchumi kutengeneza ajira kulingana na ongezeko la soko ni dhahiri wasomi hawa wataishia kuwa adui yako namba moja.

As more and more Tanzanians are educated, they get to know their rights and fight back upuuzi wowote ule wa kuwahadaa unaofanywa na CCM. Kosa kubwa linaloua elimu yetu ni watunga sera kutoona umuhimu wa kuandaa walimu bora na kuisha kuwa na kauli mbiu ualimu ni wito ili wawalipe mshahara kidogo. Mwalimu anatakiwa kuwa the brightest in the class, maana transfer of knowledge should come from those who have it!. Kuretain brightest unahitaji kuwalipa mshahara mzuri siyo kuwakopa.
 
Mkuu Hofstede naomba nipingane na wewe katika hii para yako ya kwanza... Nakubali kuwa kwa CCM moja ya adui yao ni Elimu kwa wananchi hasa ya higher learning. But wao kusitisha huo ujenzi mie nakubali na ku support kabisa. Shule zimekuwa ni nyingi za kutosha, hizo shule ni makasha tu, hakuna vitabu, hakuna labaratories, hakuna madawati, hakuna office equipments na wala hazina waalimu wa kutosha. Kwa sasa nguvu inatakiwa iwekwe kwa waalimu kwanza, na tusemapo waalimu hatuna maana walimu wengi tu.. No.

Ila walimu wengi ambao wako qualified na wapo devoted na hio inawezekana pale tu ambapo serkali itaboresha hio sector kwa upande wa mishahara, malupu lupu na malipo ya likizo yanayoeleweka. Hii sio tu kwa kulenga kuboresha maisha ya walimu, bali pia kuboresha sector ya elimu kwa kufuta vitu kwam tuishens vinavouwa ubora wa elimu mashuleni. Walimu waliobora wataweza jitune na kufundishwa watoto kwa ufanisi hali wakisubiri vitu kama labaratories zinafanyiwa kazi na viwezesha kazi vingine kuboreshwa vikiambatana na vitabu.

To the immediate above paragraph I can say... As many more Tanzanians are being educated, YES they get to know their rights... But hio ya fighting back, I am a bit doubtful about that. At present in our small poverty stricken state of Tanzania we have major issues, which are crystal clear that they have occurred and still persistently going on... Do we fight? Do we take actions? Do we act on it in any way that the government be alarmed, threatened and a bit worried? Hofsede, you and I know we don't do a thing. We don't lift a finger, BUT by God we do bark! Sometimes at a wrong tree through our frustrations!

Ila nisema tu sio mbaya, tumetoka mbali, tulipofika inatoa taswira ya a very promising future sababu kubisha kwa vitendo na sio porojo ama maneno ndipo huko tunakoelekea.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umejaribu kuwatetea lakini mi sioni jitihada yeyote ya kuziboresha. Ukweli unabakia palepale kuwa CCM imeona hizi shule zinakuwa kijiwe cha upinzani maana walimu wachache waliopo badala ya kufundusha wanatumia robo tatu ya muda wao kulalamika na kuiponda serikali kwa wanafunzi
 
Ni uamuzi muafaka. Sasa ijikite katika kuimarisha ubora. Zoezi hili liendane na kujenga maabara, mabweni hususan Kwa wasichana, nyumba za walimu bila kusahau kuandaa walimu kutosha walio na maslahi bora.

Dr unadhani hilo la kuandaa walimu wenye maslahi litawezekana wakati kila leo sungura ni mdogo,wizi umeongezeka kiwango cha kutisha na serikali hii hii dhaifu haiko tayari kumkamata awaye yeyote wala kufanya uchunguzi
 
Mkuu umejaribu kuwatetea lakini mi sioni jitihada yeyote ya kuziboresha. Ukweli unabakia palepale kuwa CCM imeona hizi shule zinakuwa kijiwe cha upinzani maana walimu wachache waliopo badala ya kufundusha wanatumia robo tatu ya muda wao kulalamika na kuiponda serikali kwa wanafunzi

Njaare, tulia mkuu na naomba do me a favor na unisome upya then i will answer, naona umetoka chaka. Aidha hujanielewa or hujataka kuelewe or upo so rigid kwa lile ambalo tayari wafahamu utaki kubadilishwa mawazo ukiamini wat you know is absolute.

Natetea?? hivi serkali ya CCM unaweza watetea kwa lipi? Sio kila kitu kinatakiwa uelezee in the lines of politics. I urge naomba nisome upya for naamini hujanipata.
 
Pumbavu, wameshachezea na kutumia vibaya kodi zetu eti wanajifanya wameshtuka eti, wanafiki wakubwa
 
Pumbavu sana nyie, yani michango yenu yote hakuna hata mmoja aliyezungumzia maslahi bora ya walimu, hata mjenge shule nzuri, nyumba bora za walimu, maabara bila mshahara unaotosha kwa mwezi mnajilisha upepo. kenge nyie.
 
MotoYaMbongo hii post yako inaonesha mpumbavu ni wewe hapo... Take note; sio mimi nisemayo hayo bali post yako. Unajua maana ya kupost thread? I guess not tokana na jibu lako hili. Hapa Mkuu kila mtu ana mawazo yake, mtazamo wake na mchango wake na yote ni muhimu kutoa ili kila mmoja amsome mwenzie ama aeleweshe mwenzie pale alipo pungukiwa.

Hata hivo upumbabu wako mwengine unaonekana katika matendo yako, wewe hata katika maisha ya kila siku ni dhahiri mkurupukaji hivi hvi kama hii hoja yako katika hii thread. Nisome post # 8 utakuta nimegusia tena kwa upana. Na kwa kukusaidia sababu ni mkurupukaji nakuwekea hapa chini nakusagia na kukulisha pia kwa kukuwekea rangi na kubold.

Mkuu Hofstede naomba nipingane na wewe katika hii para yako ya kwanza... Nakubali kuwa kwa CCM moja ya adui yao ni Elimu kwa wananchi hasa ya higher learning. But wao kusitisha huo ujenzi mie nakubali na ku support kabisa. Shule zimekuwa ni nyingi za kutosha, hizo shule ni makasha tu, hakuna vitabu, hakuna labaratories, hakuna madawati, hakuna office equipments na wala hazina waalimu wa kutosha. Kwa sasa nguvu inatakiwa iwekwe kwa waalimu kwanza, na tusemapo waalimu hatuna maana walimu wengi tu.. No.

Ila walimu wengi ambao wako qualified na wapo devoted na hio inawezekana pale tu ambapo serkali itaboresha hio sector kwa upande wa mishahara, malupu lupu na malipo ya likizo yanayoeleweka. Hii sio tu kwa kulenga kuboresha maisha ya walimu, bali pia kuboresha sector ya elimu kwa kufuta vitu kwam tuishens vinavouwa ubora wa elimu mashuleni. Walimu waliobora wataweza jitune na kufundishwa watoto kwa ufanisi hali wakisubiri vitu kama labaratories zinafanyiwa kazi na viwezesha kazi vingine kuboreshwa vikiambatana na vitabu.

To the immediate above paragraph I can say... As many more Tanzanians are being educated, YES they get to know their rights... But hio ya fighting back, I am a bit doubtful about that. At present in our small poverty stricken state of Tanzania we have major issues, which are crystal clear that they have occurred and still persistently going on... Do we fight? Do we take actions? Do we act on it in any way that the government be alarmed, threatened and a bit worried? Hofsede, you and I know we don't do a thing. We don't lift a finger, BUT by God we do bark! Sometimes at a wrong tree through our frustrations! Ila nisema tu sio mbaya, tumetoka mbali, tulipofika inatoa taswira ya a very promising future sababu kubisha kwa vitendo na sio porojo ama maneno ndipo huko tunakoelekea.

Siku nyingine kuwa makini mkuu... Hakikisha lile unatuhumu una hakika nalo, na kama kitu kinahusu jamii yako basi walau hakikisha wasoma post to post kama kweli upo interested. Na ustaarabu nao mhimu hata kama hakuna aliekuwa kagusia ilitakiwa tu ongeza mchango wako kwa kutaja na ku emphasise hapo.
 
Back
Top Bottom