Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Ni udhaifu mkubwa Serikali yeyote kushindwa kutumia busara na hatimaye kutumia nguvu na ubabe.Swala la serikali kuonyesha kuwa kama madaktari hawatakuwepo tayari basi wanaweza kutumia wanajeshi ni Udhaifu wa Viongozi wetu ambao hawana fikra pana na badala ya kutumia Akili wanatumia Nguvu.