Memo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 2,157
- 760
Walimu wakigoma tutawaleta wengine from CHINA.
Chua he hau, hin haa wuu!
Walimu wakigoma tutawaleta wengine from CHINA.
Hii nilitaka kuiposti kule Jamii Inteligence nikidhani ni theories za kiinteligensia, nikagundua kumbe
kule huwezi kuposti mpaka kwa kibali cha mode, hivyo nimeileta huku jukwaa huru ambalo halihitaji ruhusa ya yeyote kuposti humu!.
Wanabodi,
Wakati tukiendelea kugumia kilichomkuta Dr. Ulimboka, kama kawaida lazima "conspiracy theories' ziwepo ili kujifariji kuwa kuwa aliyefanya hivyo ni nani na kwa malengo gani?.
'Conspiracy theory' Number 1: " It is "inside job"!.
theory hii ambayo ndiyo ya walio wanaamini kabisa ile ni kazi ya serikali, kwa msingi kuwa yeye ndio chanzo cha mgomo toka mwanzo, kwa hiyo, akishughulikiwa, mgomo ndio utamalizika rasmi, hivyo serikali ikawatumia vijana wake waitwao "the oparatives" wamshughulikie vile wataona inafaa, na kweli vijana wakaingia kazini na kilichotokea ni motokeo ya kazi "nzuri" ya vijana wale ambao wameitekeleza vibaya (incomplete), hivyo sasa kui embarass serikali!.
Wanabodi, hakuna ubishi, "the oparatives wapo", na hizo ndizo kazi zao, lakini naomba kutofautiana na simple thinkers wanaoamini its an 'inside job', kwa sababu ili "oparatives" waingie kwenye any 'covert' oparation, lazima kwanza waweke malengo, "what do they want to achieve", ili kujaustify "the motive behind", na kabla ya utekelezaji, lazima wapime, "impact" na "consequences" ndipo huamua "the best way" ya utekelezaji, na kwa vile "they are proffessionals", siku zote hutekeleza with very high degree za 'precise' na leaving no trace behind!.
Kilichomtokea Dr. Ulimboka ni kazi ya "amateures" kwa kuacha loop holes kibao ambapo ukiwa "deep thinker", uta doubt kama ile ni kazi ya "professionals", hivyo inawezekana kabisa sio "inside job", unless kilichofanyika kiwe ni tactics za vijana wa "inside job" to carry out kihovyo hovyo ili ionekana ni amateures na huko kumuacha aishi pia ndio lengo na sio aliachwa kuishi kwa bahati mbaya!.
Normal comon sense inanishawishi nijiulize, kama Dr. Ulimboka ndie adui wa serikali, kama serikali hiyo hiyo imeamua kumshughulikia kwa njia hiyo ili iachieve nini?. Ule msemo wa mchawi, mpe mwanao akulelee kwa imani kuwa hawezi kumdhuru!, hivi inawezekana kweli serikali yetu ndio iliyomshughulikia Dr. Ulimboka na kwa nanma ile?!. Kama ni kweli, hii ni kazi ya "inside job", then for sure, "hii itakuwa ni serikali ya vichaa!".
Conspiracy Theory No. 2. Could it be just a "Smear Caipaign"?!.
Adui wa adui yako ni rafiki yako, kwa vile Dr. Ulimboka ndiye kiongozi wa hii migomo, na hii migomo imeishaipasua sana kichwa serikali, hadi rais Jakaya Kikwete, akautangazia umma kuwa mgomo ule ni wa mwisho, na kwa vile sasa mgomo umeibuka tena na kuwafanya wote waliojifanya kuuepusha tangu mwanzo kuonekana wajinga, akiwemo rais JK, its obvious Dr. Ulimboka ndie alishaonekana ni adui wa serikali na kila mtu anajua, hivyo jambo lolote litakalomtokea Dr. Ulimboka, automatically, fingers zitakuwa pointed kwa serikali kuwa sio mshukiwa bali ni mhusika mkuu!.
Kwa msingi kuwa, Dr. Ulimboka ni adui wa serikali, automatically atakuwa ni rafiki wa maadui wa serikali, hivyo sasa amegeuka target nzuri kwa maadui wa serikali waliomo within, ambao hawaitakii mema serikali yao, wakaamua kumshughulikia Dr. Ulimboka ili kuiembarass serikali kunyooshewa vidole vya lawama kwa utaratibu unaojulikana kama "smear Campagn"!.
Could it be?.
Pole Dr. Ulimboka.
Get well soon!.
Pasco.
​
Hao madaktari wakija watawatibu wagonjwa kwa kutumia kadi za ccm au?Mshahara wa 13 m kwa mwezi ndio madaktari wa bongo wanataka, hili halitekelezeki hata malaika washuke
SERIKALI imeamua kuagiza
madaktari kutoka nchi za nje
watakaochukua nafasi ya
wale wa hapa nchini ambao
wamegoma kuanzia
mwishoni mwa wiki iliyopita.
Habari kutoka katika moja ya
vyanzo vya kuaminika
zimesema kuwa uamuzi huo
wa serikali ulipitishwa katika
kikao cha Baraza la Mawaziri
kilichokutana mjini Dodoma juzi chini ya uenyekiti wa Rais
Jakaya Kikwete.
Habari kutoka ndani ya kikao
hicho zilidai kuwa Rais
Kikwete alikerwa na tabia ya
madaktari kupingana na
serikali licha ya juhudi zote
zilizofanywa kuboresha maslahi yao.
Kwa mujibu wa habari hizo,
kiasi cha sh bilioni 200
kimetengwa kwa ajili ya
kuwaleta na kuwagharimia
madaktari hao wa nje na pia
baraza limepitisha azimio la kuzungumza na hospitali za
jeshi kama Lugalo na zingine
ndogo kubeba jukumu hilo
kwa sasa pamoja kuagiza
madaktari wastaafu wote
warejee kazini katika kipindi hiki cha mgomo.
Habari zimedai kuwa
madaktari hao wanasadikiwa
watatoka katika nchi rafiki,
zikiwemo India, China, Cuba
na Afrika Kusini, na kwamba
wataziba kikamilifu pengo la wale wa hapa nchini ambao
wamegoma.
Inaelezwa kuwa mara baada
a ya kukamilika na kuanza
rasmi kwa huduma za
matibabu, madaktari wa hapa
nchini waliomo katika mgomo
na wale zaidi ya 200 waliodaiwa kufukuzwa na
serikali kimyakimya,
watalazimika kurejeshwa
kazini kwa masharti makali.
Hata hivyo, uamuzi wa
serikali kuwatimua madaktari
wakati suala lao liko
mahakamani, umewagawa
wabunge.
Baadhi ya wabunge walijaribu
kuhoji suala hilo Bungeni,
lakini walikwama baada ya
Spika Anna Makinda kuzui a
mjadala huo kwa madai kuwa
suala hilo liko mahakamani. Mbunge wa Nzega, Dk. Hamis
Kigwangala, alisema kuwa
kilichofanywa na serikali ni
kiini macho kwani juzi Waziri
Mkuu Mizengo Pinda alisema
serikali haiwezi kutoa kauli dhidi ya madaktari kwa madai
kuwa kuna kesi mahakamani.
"Juzi serikali imesema kuwa
haiwezi kutoa kauli kwa vile
jambo hilo lipo mahakamani,
sasa imewezaje kuwafukuza
madaktari wakati jambo lipo
mahakamani?"
alihoji Dk. Kigwang'ala.
Aliitaka serikali kuondoa kesi
hiyo ili kurejesha majadiliano
kwani ndio njia pekee ya
kukabiliana na mgogoro huo. Mbunge wa Ubungo, John
Mnyika, alimshangaa Spika
Anna Makinda kuzuia mjadala
huo kwani ungeweza
kujadiliwa bila kuingilia uhuru
wa mahakama.
Juzi uongozi wa Hospitali ya
Taifa Muhimbili, uliwafukuza
kazi madaktari 229 walioko
katika mafunzo kwa njia ya
vitendo kutokana na mgomo
unaoendelea wa kushinikiza kulipwa posho zao za mwezi
mmoja.
Hospitali zingine ambako
madaktari wamefukuzwa
kutokana na mgomo huo ni
pamoja na Mbeya na Dodoma. Jeshi lachukua nafasi za
madaktari Wakati huo huo Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ),
limeanza kutekeleza kwa
vitendo agizo la serikali la
kutoa huduma za kitabibu
kwa wagonjwa kufuatia mgomo wa madaktari nchini. Juzi Waziri Mkuu Mizengo
Pinda akiwa bungeni alisema
serikali imeamua kuwatumia
madaktari waliopo Wizara ya
Afya na Ustawi wa Jamii,
wastaafu na hospitali zote za jeshi kuendelea kutoa huduma
ya matibabu kwa wagonjwa. Msemaji wa JWTZ Kanali
Kapambala Mgawe katika
mahojiano maalum na gazeti
hili, alisema juzi baada ya
Waziri Mkuu Pinda kutoa agizo
hilo, walianza utekelezaji wake ambapo kwa jiji la Dar
es Salaam, hospitali Kuu ya
Jeshi Lugalo Kikosi ya 521,
Mgulani na ile ya Kikosi cha
Navy-Kigamboni na hospitali
zake zote kote nchini zilianza kutoa huduma hiyo bila
vikwazo. "Kwanza naomba umma
uelewe hivi hospitali za JWTZ
hapa nchini kwa asilimia 70
zimekuwa zikiwatibu raia bila
vikwazo vyovyote hivyo agizo
hilo la serikali huenda likaongeza idadi ya wagonjwa
kutibiwa katika hospitali zetu
labda kwa asilimia 90. Mgawe alisema madaktari
wanajeshi wapo kwa ajili ya
kulinda taifa na watu wake,
hivyo akawahakikishia
wananchi wanaougua
kutosita kwenda katika hospitali za jeshi hilo kutibiwa
akidai kuwa hawaoni mantiki
ya daktari kugoma.
hapo kwenye red mkuu, wakati nasikiliza hotuba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu jana TBC alitumia muda mwingi kuelezea jinsi walivyotafuta washauri kwenye suala la kuvunja au kuunganisha jiji la Dar es Salaam. Alisema walipata proposals kutoka kwa connsultants kama wanne hivi lakini baadaye wakaamua kuliacha kama lilivyokuwa zamani (naomba kukosolewa hapa).Hatimaye mambo mengi yaanza kudhihirika, hivi humo ndani ya utawala wale washauri wenye kuona mbali na kupambanua mambo hawapo kabisa, hiki ni kiini macho hiyo hela kwa nini sasa isitatue matatizo hayo, kama kununua vitanda, vitendea kazi ambavyo wataalamu hao wanadai. Sipati picha tuendako, nahisi kama wanatawala bora liende ili ifike 2015, maana sasa fikra zimegota kabisaaaa!! maamuzi haya sijajua ccm yote imecolapse kiasi hicho. wale wazee wameenda wapi ama wanatizama kama sinema fulani! HAKIKA NCHI IMEACHWA KABISA IFE KILA MTU ......
Bora kuleta madaktari wa nje kutoka nchi rafiki ambazo zimekubali tena free kuliko kwa hawa madaktari maslahi wa Tanzania wanaotaka mshahara wa milioni 13 kwa mwezi. Waende nje watalipwa huko , ila kwa Tanzania hilo halitekelezeki.
upuuzi tu! Watawalipa sh ngapi? Watakaa kwa muda gani? Wakalimani wangapi watawaajiri? Wataishi wapi? The Govt is putting the cart before the horse. The nation's think tank is perforated! Wapuuzi kweli hawa!
Bado gharama za kupata wakalimani
Hao madaktari wakija watawatibu wagonjwa kwa kutumia kadi za ccm au?
Labda nikusaidi kidogo kwasababu wewe ni vuvuzela tu humu hadi upulizwe ndo utoe sauti
Hiv test kits hakuna, za zamani fake zimezuiwa kutumika, new algarithm inayotakiwa kutumika wafanyakazi hawajawa oriented na wala hizo kits zenyewe hazipo..... Tangu January hiv testing haifanyiki na hasa mikoani, kwa maana hiyo care and treatment ime paralyze completely, this means kama mtubalitakiwa kuanza ART hajaweza kuanza na kama ni kufa watakufa kwa maelfu!!
So, just shut tf up!
Hakuna unalolijua zaidi ya kupiga kelele humu.