Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu na Naibu Spika imezungumzia wasiwasi wake khs maandamano yanayosisitizwa na Wabunge wa Chadema wakati wa Uchangiaji wa Hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani.
Wabunge hao wamesisitiza kuyahamasisha pale ikibidi kama Serikali legelege haitajitahidi kujirekebisha ktk kuboresha maisha ya watanzania...!
Mh H Kiwia wa Ilele Mwanza, alikwenda mbali zaidi pale aliposema maandamano kwake ni kama wazazi wake kisiasa, wakati wa Uchaguzi 2010, bila maandamano hayo ya wakazi wa jiji la Mwanza asingeweza kutangazwa Mshindi ktk uchaguzi huo....., alilieleza bunge leo asbh wakati akitoa mchango wake.
Duniani kote watu wanaandamana, wao hawana ubavu wa kuzuia nguvu ya umma. watu wamezoea mabomu ya machozi, hivi sasa wanaexperience risasi za moto.
ni heri kufa ukidai haki