nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
Serikali ya kipuuzi kwa sa sababu inaendeshwa na watu wapuuzi kama pinda, wanadhani hawa ni wanafunzi wa udsm wajue hawa ni watu wanaotetea maisha ya wananchi ambayo serikali inajifanya kuwajali. Pinda amekuwa kama galasha anapepesuka tu kama vile ana mtindio wa ubongo.