Serikali yanunua V8 25mpya kutoka Toyota!

:doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:...hii nimitaa ya jengo jipya karibu na Ocean Road Hospital...kweli naona hii si serikali sikivu..maana haya madude wangea mua kununua PRADO Ingekuwa bei nafuu na pesa ingebaki wakanunua madawati.....Madawa mahospitalini na vifaa!!
 
Unbelievably true!!!

CCM ni bonge la problem.......hapo ujue kuna yale ya zamani yaliyomaliza 4 years kuna watu watauziwa 2m au 3m @ na watapewa haya mapya!
 
No comment kwa hivi! Naona sasa tumerogwa kwa kweli sisi wadanganyika kwa nini tusimsue PM na Vasco kwa kutudanganya? nadhani akiulizwa PM atasema wakati anatoa kauli yaliwa tayri yameshaagizwa then mwaka mwingine mengine tena yanaletwa tunadanganywa tena halafu takaa kimya yaani nahisi hata kichwa kinauma.
 
Unbelievably true!!!

CCM ni bonge la problem.......hapo ujue kuna yale ya zamani yaliyomaliza 4 years kuna watu watauziwa 2m au 3m @ na watapewa haya mapya!

Kuna moja la 2010 kandoro alitaka kulinunua kwa milioni 2.
 
mimi bwana naamua kuwa Thomaso, mpaka nione plate number ndo ntaamini kuwa ya Serikali.
 
Thread zingine ni kutafutiana bun tu kwa %$#@#$% unaofanywa na serikali ya CCM maana wanacho kisema hawakitafanyi wanachokifanya wanakipinga majukwaani...
 
Maskini sie........hivi hakuna kwa kwenda ku-appeal?

Ngoja angalau nijipe moyo kuwa sio ya serikali, manake kila nikikumbuka CT scan nakosa la kusema. Nikiangalia kwa haraka haraka, hata kwa ujumla wake yatakuwa hayatoshi kununua CT scan hata moja, ndio maana waka-opt kununua magari haya.
 
Back
Top Bottom