Serikali yamgwaya Lema

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Mimi mara zote nasema Lema ni mpiganaji wa kweli...mpaka mkuu wa kaya anamgwaya pamoja na maneno makali alyopewa,,ni chungu lakini amemeza...hakuna ikulu,wala polisi aliyetia neno...

Kweli wewe ndo mbunge wa arusha, najua unajua watu wa arusha na tanzania wanataka nini? Kiukweli watu wa arusha hawana hata chembe ya uwoga...safi Lema umewakilisha vyema mji wetu...
 
Dah Kamanda wetu yuko juu na Arusha haitakuja kurudi mikononi mwa CCM kamwe....!
Tutahakikisha tunabaki na Chama Chetu Cha Chadema!
People's Power ndani ya Jiji la Arusha!
 
Mimi mara zote nasema Lema ni mpiganaji wa kweli...mpaka mkuu wa kaya anamgwaya pamoja na maneno makali alyopewa,,ni chungu lakini amemeza...hakuna ikulu,wala polisi aliyetia neno...

Kweli wewe ndo mbunge wa arusha, najua unajua watu wa arusha na tanzania wanataka nini? Kiukweli watu wa arusha hawana hata chembe ya uwoga...safi Lema umewakilisha vyema mji wetu...

Kukaa kimya nalo ni jibu kwa mtu ambaye hajitambui.
 
ukweli utasimama daima, anasema ukweli ndo mana wameshindwa kumkanusha, yuko vizur huyu bwana mdogo lema, man of the people
 
Kukaa kimya nalo ni jibu kwa mtu ambaye hajitambui.
Kurugenzi yenu ya Ikulu huwa haichelewi mfano gazeti la Tanzania Daima lilipo ripoti Rais kasema huo ni upepo tuu na utapita mbona haikufika hata mchana ikakanusha hili inashindwaje? wanamuogopa Lema kama Lowassa anavyo ogopwa ndani ya CCM na serikali kwa ujumla
 
Ritz silence means Yes
hata mtoto wa chekechea anajua

mbona ccm na ikulu yao watajuta kwa kitendo walichokifanya kwa Lema? Wamekosa pa kuchezea kabisa na moto wake utakuwa zaidi ya dhoruba
 
siyo rahisi kwa mtu kujibu tuhuma kama Lema alizodondoza iwapo kuna chembe ya ukweli! Ni heri akae kimya kuliko tusikie kwenye kikao cha Oysterbay walizungumza nini maana itakuwa ni fedheha kwa mkuu wa kaya
 
" sihitaji ubunge wala cheo chochote kupigania haki na usawa wa utu, bali nahitaji dhamira safi ndani yangu kupigania haki"

"Ni heri vita inayopigania haki na usawa kuliko amnai inayopumbaza na kudhalilisha utu"

By Prophet G. Lema.
 
Lema ni mpu-uzi kumbe inamuuma kupoteza ubunge kama alijua anakula mkate wenye blueband kwann achezee kwny mchanga uwanahakati bongooo wanaharakai wako us na ulaya anakunywa viroba vyaungaleoo uje kujiita mwanaharakati kaa kimya fanya kaz ya chama chako arusha ilikuwepo b4 u na itaendela kuwepo even after u.shame on u Lema
 
najua siku itakuja na Lema atatuambia walichoongea Oysterbay na yule babu ambaye hata rushwa ya suti anapokea,
 
hakuna asiyeumizwa kama hakutendewa haki. Majibu ya Sharo yanaonesha kidogo kuna kitu cha kulevya huwa anatumia kabla ya kuingia JF.ama ndiyo mmoja wa walamba viatu wa JK na CCM?ukibwia mibange,au mbege huku forum usitie timu mdogo wetu
 
Back
Top Bottom