Serikali yakopa CRDB kulipa wafanyakazi

wamekopa bei gani na wanatakiwa warudishe bei gani na kwa muda gani? Nalog off
 
Tupeni source tuone ilivyokaa wakuu,maana hili nalo neno.ila la shimiwi hilo linafahamika.
 
Ni jambo la ajabu na la kushangaza serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake mpaka kufikia kukopa bank za ndani,utendaji wa sasa wa serikali kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumiz mabaya ya serikali ndo uliopelekea ghali kuwa hivi,miradi mingi ya barabara imesimama pia,uchumi umedora,mfumuko wa bei uko juu,serikali ipunguze gharama za anasa kama safari za nje za viongozi wetu,ununuzi wa magari ya kifahari!nchi imefilisika...
Nawasilisha

Hivi wewe unaweza ukamshauri kichaa muokota makopo kwenye mitaro ya maji machafu "Acha kuokota makopo ni Hatari kwa afya yako"
 
Back
Top Bottom