Serikali yajiumbua yenyewe

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
Serikali yajiumbua yenyewe


picture-4.jpg

Na Saed Kubenea - Imechapwa 01 December 2010

bunge_217.jpg



UTATA umeghubika malipo ya mafao ya wabunge na mawaziri waliomaliza ngwe yao tarehe 1 Agosti 2010, MwanaHALISI limeelezwa.
Kuna taarifa kwamba mawaziri walilipwa mara mbili na kufanya baadhi yao kufanikiwa kuchota zaidi ya Sh.100 milioni kila mmoja; huku baadhi ya wabunge wakiweka kibindoni zaidi ya Sh. 77.9 milioni.

Serikali yajiumbua yenyewe | Gazeti la MwanaHalisi
 
Tanzania tunahitaji kwa HARAKA SANA asasi za kirai zenye wasomi waliobobea ili wakatusaidie kufuatilia kila kona juu ya MIENENDO YA SERIKALI kuhusu swala zima la mapato na matumizi na USAHIHI wake.

Vyama vyetu vya upinzani vipi tunahitaji maelezo kuhusu madai haya mazito.
 
Back
Top Bottom