Serikali yafukuza kazi W/viti wa Vitongoji, waliochaguliwa na wananchi

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amemuagiza mkuu aw Wilaya ya Hai Novatus Makunga kuwafukuza kazi mara moja wenye viti wote wa vitongoji Wilaya ya Hai. Kisha ameagizwa ateue wengine mara moja. Kosa, hao wenyeviti walimwandikia barua mkuu aw mkoa kumuarifu kuwa hawatashiriki kwenye shuhuli zozote za serikali hata sensa hadi serikali itakapowalipa malimbikizo ya madai yao

Wenyeviti wa vitongoji huchaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura! 🙆
 
Ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amemuagiza mkuu aw Wilaya ya Hai Novatus Makunga kuwafukuza kazi mara moja wenye viti wote wa vitongoji Wilaya ya Hai. Kisha ameagizwa ateue wengine mara moja. Kosa, hao wenyeviti walimwandikia barua mkuu aw mkoa kumuarifu kuwa hawatashiriki kwenye shuhuli zozote za serikali hata sensa hadi serikali itakapowalipa malimbikizo ya madai yao

Wenyeviti wa vitongoji huchaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura! 

wapo na wataendelea na kazi ya kuwaongoza makarani wa sensa kama kawaida na wameahidi kufanyakazi hiyo kufa na kupona kuhakikisha mambo yanakwenda kwa ufanisi wilayani hai
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Wenyeviti wa vitongoji wanamishahara au ni kitu gani wanadai? Kama wanachaguliwa na wananchi, DC anawafukuzaje? Kuna mengi yanatakiwa kuyajua.
 
Ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amemuagiza mkuu aw Wilaya ya Hai Novatus Makunga kuwafukuza kazi mara moja wenye viti wote wa vitongoji Wilaya ya Hai. Kisha ameagizwa ateue wengine mara moja. Kosa, hao wenyeviti walimwandikia barua mkuu aw mkoa kumuarifu kuwa hawatashiriki kwenye shuhuli zozote za serikali hata sensa hadi serikali itakapowalipa malimbikizo ya madai yao

Wenyeviti wa vitongoji huchaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura! 

Huyo Mkuu wa Mkoa anafikiri kutumia lile TUMBO lake kubwa, WENYEVITI WA VITONGOJI NA VIJIJI siyo ngazi ya UTEUZI bali huchaguliwa na wananchi kama ulivyo uchaguzi wa DIWANI, MBUNGE na RAIS hivyo huyu jamaa LEONIDAS GAMA hajui kuwa hiyo ni mamlaka kubwa. TUMBO LAKE.
 
Unene wa Gama umechukua sehemu yote ya akili yake!! Hapo kuna tatizo zaidi ya hili. It looks like just because opposition ndo inaongoza jimbo hili(Chadema-Freeman Mbowe mbunge wao) inafanywa kisiasa zaidi. Ila wajue watanzania wa sasa wana macho na wanachuja kila wanachokiona;mwisho wa siku yote yatakuwa hadharani!!
 
mkuu wa mkoa yupo pale kamakada wa CCM
kuna mkuu wa mkoa ambae sio CCM?
inakuwaje walipwe fedha kama watumishi wa umma kwa kodi zetu ilihali wanakitumikia chama chao?
sasa sijui mamlaka hayo ya kuwafukuza kayapata wapi?
liko tatizo la kutoelewa mipaka yake.
 
Ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amemuagiza mkuu aw Wilaya ya Hai Novatus Makunga kuwafukuza kazi mara moja wenye viti wote wa vitongoji Wilaya ya Hai. Kisha ameagizwa ateue wengine mara moja. Kosa, hao wenyeviti walimwandikia barua mkuu aw mkoa kumuarifu kuwa hawatashiriki kwenye shuhuli zozote za serikali hata sensa hadi serikali itakapowalipa malimbikizo ya madai yao

Wenyeviti wa vitongoji huchaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura! 

Pamoja na kwamba katiba yetu ya kimagumashi inawapa udikteta wa hawa MaDC na MaRC kuwafukuza kazi wenyeviti wa vijiji na vitongoji, sikumbuki kama inawapa uwezo wa kuteua wengine. Hawa wanachaguliwa na wananchi.

Kwahiyo hapa RC Gama amechemsha na kama na DC Makunga naye atatekeleza amri hiyo ya kijinga atakuwa naye amechemka.
 
wapo na wataendelea na kazi ya kuwaongoza makarani wa sensa kama kawaida na wameahidi kufanyakazi hiyo kufa na kupona kuhakikisha mambo yanakwenda kwa ufanisi wilayani hai

Mkuu nova makunga wewe ndiye mkuu wa wilaya ya hai ama ni majina tu yametaka kufanana?
 
Last edited by a moderator:
Haya ndio matatizo ya kuwa na viongozi wa kiserikali wanaotimiza matakwa ya chama, then chama kutojitofautisha na dola na kuigeuza sheria ya nchi kama katiba ya chama. Katiba mpya, wakuu wa mikoa wawe ni wa kuchaguliwa, na kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi awajibike tu kwa waliompeleka na si vinginevyo.
 
Mbona madc na marc wengi bado wana mambo yaleyale ya kizamani. wanataka wawe wanaabdiwa kama mamiungu watu.wanataka kutumia nguvu hata pasipohusika.lengo nikutaka kujulikana kuwa wao niakina nani wanasahau kuwa mwananchi wa leo siyo yule wa mwaka 47.
 
wapo na wataendelea na kazi ya kuwaongoza makarani wa sensa kama kawaida na wameahidi kufanyakazi hiyo kufa na kupona kuhakikisha mambo yanakwenda kwa ufanisi wilayani hai

Hapo ulipopewa ulaji bwana Makunga una changamoto nyingi sana lakini kwa kuanzia fanya hima usafishe idara ya Ardhi na mipango miji hapo kwenye halmashauri ya Hai kwani kuna watendaji wachafu sana hapo!! Kama hutamuondoa huyo afisa Ardhi na huyo Afisa mipango miji ujue wazi kazi itakushinda hapo hai; you will have yourself to blame kwani wana JF wenzio tumekuonya!! Bomang'ombe ina kesi za Ardhi nyingi mahakamani kuliko sehemu zote nchini kwa sababu ya hao watendaji.
 
wapo na wataendelea na kazi ya kuwaongoza makarani wa sensa kama kawaida na wameahidi kufanyakazi hiyo kufa na kupona kuhakikisha mambo yanakwenda kwa ufanisi wilayani hai
Heshima yako Mkuu...Kama ni mwenyewe lakini. Tuhakikishie ni kweli kuwa Mkuu wa Mkoa ametoa maagizo hayo?
 
Back
Top Bottom